MMU Thread Collection - General Topics discussed and posted in the Forum before Sept 2012

Status
Not open for further replies.
Heheheh wifi nifanyie na ka photocopy kwa ushahidi wa baadae hiyo original we baki nayo......kiukweli ni wazo zuri sana.....hongera kwa wote waliolileta!

pamoja sana dia (source: AshaDii)

Hilo wewe usijali, tena sababu ni wewe zitakuwa original mbili moja yako nyengine yangu... lol

Hiii ni nzuri Asha.

Thanks for the acknowledgement Rutta...
 
iko powa saaana.. hii itasaidia pia baadhi ya mijadala isirudiwe. thax Ashadii na wengine wote waliohusika
 
Hii na nyenginezo za MMU

Kigezo cha hii kuwa Sticky ni sababu imekusanya baadhi ya threads zilizowahi postiwa MMU (Most ambazo ziliwekwa sticky) ili kuepusha msongamano wa threads zilizokuwa sticky hapo awali. Hata hivo imegusiwa kuwa kuna ambazo zinafaa kuwekwa 'sticky' na hazipo hivo kumuomba kila alie interested a suggest.

Vigezo vya 'Stickys' za MMU sijajua ni vipi huwa wanatumia,

-ila nina hakika na sababu moja wapo ya 'Sticky'as a result ya kuhusishwa na Mtambuzi hapo nyuma. Hicho kigezo ni kila Ijumaa Mtambuzi hurusha thread based on cases of real life experiences na watu walio guswa na hio experience. Hivo hupost kila Ijumaa, hio thread huwekwa 'Sticky' na siku za mwanzo za week hutolewa...
 
Hiyo sababu ndo ulivyoambiwa au makisio yako tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom