MMU Thread Collection - General Topics discussed and posted in the Forum before Sept 2012

Status
Not open for further replies.
Kwa hayo mengine umesema ni maoni yako na yanapaswa kuheshimiwa.Lakn sio vibaya nikitofautiana na wewe hasa hapo kwenye red.THREAD kuwa na mashiko/umuhimu sio kwa sababu mtu kaleta vigezo vyake basi tuvifuate..bali ni kiwango cha umuhimu wa hili suala katika jamii na kinagusa watu kiasi gani..La muhimu zaidi ni ule mjadala mle ndani ya thread kwani mara nyingi watu huwa wanakuja na hoja za msinig na mafundisho na mara nyingine huwa yanakuwa against na mada yenyewe..Kwa hiyo thread inapokuwa sticky basi tuitizame kwa macho matatu na tunaweza jifunza mengi....

exactly....
 
Nakubaliana sana na hoja, ila labda niongezee kidogo... Kuna baadhi ya watu huwa wanatoa comment za maana sana kwenye thread za watu. Wewe asha ni miongoni mwao, kiasi kwamba mtu ungependa kuzisoma zile comment mara kwa Mara kwakua zina mashiko, sasa sijui hili mnalionaje!!?
 
Kinyoba... Naomba nishukuru kwanza kwa acknowledgement. Hio option unayotaka ni rahisi, nenda profile yako utakuta kuna mambo mengi na moja ya hio ni upande wa kushoto kwako kuna links chini ya eneo la profile picture ikianisha vitu kama Send PM, Private notes. Likes given & received alafu na "Find latest posts" NA "Find latest threads".

Kila profile ina hiyo... ukienda kwenye profile husika (mf. ya kwangu ukikuta hizo za posts and threads) ina maana utapata post zangu zote na threads zangu zote JF.
 
Take Note:-

Nilikuwa nikienda katika profiles za members mbali mbali ambao nimekumbuka harak haraka na ku copy links tokana na topic head. Nyingi hapo sijaangalia content hivo kama incase haifai tutaambiana tu. It should be noted as plenty as possible zaweza kusanywa. Ilikuwa ziwe kwa mtiririko wa topic name but nikashindwa na hivo kuziweka randomly.

Pamoja Saana
with Love,

AshaDii.

Life without love is dead and boring, don't you think so.......................and love is sharing with the one God has given u.........not just taking or giving.........bottomline is sharing...............................something like give and take..........what do you think.. AshaDii?
 
Last edited by a moderator:

I completely agree with you Rutta... That is the way it is supposed to be. Unfortunately it is not always so in real life.
 
I completely agree with you Rutta... That is the way it is supposed to be. Unfortunately it is not always so in real life.

AshaDii when it is not we miss everything for an exchange with painful discoveries..................
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi naombeni msaada kwa anaesoma Tumaini Iringa anisaidie. Nitashukuru kama atakuwa wa community mwaka wa kwanza au aliemaliza dip mwaka jana
 
Jamani,sina raha,amani hakuna,
ninaumwa nipo kitandani sina kampani,nahitaji faraja kwa mtu yoyote tuchat kwa msg nadhani siku yangu itaenda vzr kwa no 0655325644
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom