MMU Thread Collection - General Topics discussed and posted in the Forum before Sept 2012

Status
Not open for further replies.
Ndo maana na mimi nilisema sijaelewa haswaa ni nini hapa mnafanya

anyway ni hivi
nakubaliana na NN kuwa threads za sticky ni nyingi mno
na nyingi hazistahili au hatujui ni vigezo vipi zikawekewa sticky....

Lakini bado nafikiri kuna threads zina 'tofauti' hata kama kuna mwingine alisema
theme hiyo hiyo..
mfano thread ya DC ya mwanaume wa kiafrika binafsi sioni kama inafanana na zingine
mfano ile ya mwanaume kamili......hazifanani so kuziunganisha pamoja sio sahihi....

tatu hii idea yako ya kuzi combine threads zenye 'value' fulani MMU....ni nzuri
wasiwasi wangu ni kuwa still baadhi ya threads nzuri zinaweza zisiwepo
na zingine pengine sio nzuri saana zikawepo sababu....it is Ashadii 's taste.....

sio general members taste but then again kupata general members taste nayo sio rahisi...
so ngoja nisubiri nione.......all in all a good idea.....

I was of opinion kuwa nimeweka wazi haya mambo:
  1. Nime select threads ambazo zilikuwa tayari sticky.
  2. Nime select threads ambazo nakumbuka kushiriki ama kusoma, nikigusia kuwa kuna uwezekano mkubwa kuna threads zafaa kuwa hapo lakini sizijui, ama zisikumbuki.
  3. Kila mmoja anaruhusiwa kuweka/suggest links ya threads ambazo yeye personally ama wengi wanaona inafaa.
  4. Nimegusia kua hili ni wazo ambalo lilinijia nikawa radhi kulifanya kwa kupenda ili kuepusha msongamano wa stickys na vile vile easy retrieve ya threads.
  5. Swala la general members taste, you are right Boss, ingawa nimejitahidi kwa kiasi kikubwa kuchukuwa yale ambayo yanagusa wengi wetu.
  6. Threads boss nakubali zimekuwa combine tokana na umuhimu (according to ADI's assumptions); lakini pia kwa kuweka wazi kuwa nipo tyari kukosolewa na kushauriwa mahala ambapo nimekosea.

Tokana na hizo sababu 6, kama bado sijaeleweka, niwe wazi sina tena ujanja wa kuelewesha zaidi ya hapo...
 
basi nili overlook hizi points
endelea nitaweka mchango wa threads zangu za MMU
like top ten my MMU threads....later....good job...
 
Ashadii, I implore you to close this thread and just let things be as they were before. Please, do that if you can.

Ngabu naona hili tatizo lilikuja tokana na kwamba ile original thread yakwako imefungwa. Ikifungwa na hii italeta ubovu zaidi... Wacha tuelewe kuwa tatizo lipo wapi. I believe it could be sorted kama tukiamua.
 
Dah! I didn't know you were this hypersensitive. No one intended to offend you. And If you took offense you could have just spoken up about it and we could have hashed things out. Anyway, kwenye hiyo mada yangu bandiko langu la kwanza niliandika hivi:Baadaye ndiyo Elizabeth Dominic akaniuliza ni mada gani ambazo ningependa ziondolewe na kwa sababu gani? Nikatoa mfano wa mada tatu, moja ikiwamo ya kwako, ambazo kimsingi zina maudhui sawa lakini ambazo zote zilikuwa na sticky.That was a valid argument and I'm disappointed that you didn't see beyond your personal grievances that you have with me to appreciate the validity of the argument.
Sina personnal grievances na wewe na sina sababu ya kufikiria kuwa nazo. Kama nilionekana hypersentive au la, naamini si kosa.
 
basi nili overlook hizi points
endelea nitaweka mchango wa threads zangu za MMU
like top ten my MMU threads....later....good job...

Boss, I will be looking forward to those threads. I am glad tumeelewana. Thank you.
 
Ngabu naona hili tatizo lilikuja tokana na kwamba ile original thread yakwako imefungwa. Ikifungwa na hii italeta ubovu zaidi... Wacha tuelewe kuwa tatizo lipo wapi. I believe it could be sorted kama tukiamua.

Tatizo Dark City amekasirika kwa sababu moja ya thread zake ambayo ina sticky na ambayo mimi sikukubaliana dhana zilizokuwa zinajadiliwa niliitolea mfano kuwa ni moja ya threads ambazo mimi kwa mtazamo wangu niliona zina maudhui sawa lakini zote zilikuwa na sticky.

Kwa hiyo kosa langu liko hapo. Kwamba yeye alikuwa offended na mimi kutolea mfano thread yake ambayo sikukubaliana nayo.
 
Sina personnal grievances na wewe na sina sababu ya kufikiria kuwa nazo. Kama nilionekana hypersentive au la, naamini si kosa.

Kama huna usingeandika uliyoandika hapa. Au unataka kusema hukumaanisha mimi?

Naunga mkono wazo hili. Hata hivyo, nilishindwa kukubaliana na hoja za awali kwa sababu kulikuwa na dalili za ku-ofend baadhi ya watu. Inapotokea mtu kachangia kwenye thread na kuiponda kwamba haina mshiko halafu anakuja baadaye kuomba iwe miongoni mwa zile ambazo siyo sticky, inaleta mashaka kwenye nia ya huyo mtu.

Wewe kama ulikuwa na tatizo na mimi au nilichoandika ungenijia tu moja kwa moja tukalimaliza tatizo lako kiume. Siyo kuzunguka mbuyu as if wote ni watoto wadogo hapa.
 
Kama huna usingeandika uliyoandika hapa. Au unataka kusema hukumaanisha mimi?Wewe kama ulikuwa na tatizo na mimi au nilichoandika ungenijia tu moja kwa moja tukalimaliza tatizo lako kiume. Siyo kuzunguka mbuyu as if wote ni watoto wadogo hapa.
Nimeshaeleza na sidhani kama nina lingine. Ila wewe kama unalo basi sema. Kama kuna mtoto naomba umtaje tu wala usiwe usione tatizo.
 
Nyani Ngabu na Dark City. Please let it rest na the bygones ziwe bygone. Sio rahisi kuwa wote mtakuwa na mtazamo mmoja wa jambo hapa na pale, ila naamini kabisa kuwa ni rahisi kila mmoja wenu to agree to disagree na kubaki na lile ambalo yeye binafsi anasimamia na kuamini katika hilo ambalo ni wazi lawatatanisha kufikia a common agreement. Please, kwa heshima kwenu nawaomba.
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu na Dark City... Please let it rest na the bygones ziwe bygone. Sio rahisi kuwa wote mtakuwa na mtazamo mmoja wa jambo hapa na pale, ila naamini kabisa kuwa ni rahisi kila mmoja wenu to agree to disagree na kubaki na lile ambalo yeye binafsi anasimamia na kuamini katika hilo ambalo ni wazi lawatatanisha kufikia a common agreement. Please, kwa heshima kwenu nawaomba...

I'm done with the riffraff.
 
Mchwechwele sasa hizo nondo za zamani ndio utupe link hapa ili wote tufaidi...

My sweet wifi kura yako imehesabiwa na kuhifadhiwa pia... lol

Heheheh wifi nifanyie na ka photocopy kwa ushahidi wa baadae hiyo original we baki nayo......kiukweli ni wazo zuri sana.....hongera kwa wote waliolileta!

pamoja sana dia (source: AshaDii)
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom