Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Oh' hio ya Mtambuzi ndio umeona hivo? Then tumelitazama tofauti... Hio nyingine, yeah' nimeambiwa sio makisio yangu tu...
Kuna tofauti kubwa kati ya sababu, chanzo na matokeo. Inaonekana wengine huvifinyanga pamoja.
Niliuliza vigezo ambavyo vinaangukia kwenye ama sababu au chanzo na si matokeo.
Juu ya yote, binafsi sioni mantiki kwa thread yoyote kuwekwa sticky kama haihusiani na utawala au uendeshaji wa jukwaa husika
Sioni mantiki ya mwanamme mmoja kuja na vigezo vyake vya mwanamme wa Kiafrika anatakiwa aweje tukatarajiwa sote kila tukifungua jukwaa tuikute ikitusabahi, au for that matter, msichana na fantasy yake ya mwanamme wa kweli yukoje ndio ikawa kibla cha jukwaa kila tukiingia.
As for this thread na usticky wake, it is as useless as hizo nyengine zinazowekwa sticky kwa maana sio kuwa mtu akitaka kuanzisha thread mpya kuhusu mwanamme wa Kiafrika atakuja adurusu au atalii kwenye uzi huu kwanza kuona kilichowahi kuandikwa.
Ni wastage of space na kero tu kwa wafunguaji jukwaa. Kama thread ni muhimu au maarufu itaendelea kuwa katika top page kutokana na kuchangiwa kwake na hata kufufuliwa na kuendelezwa tena na tena baada ya miezi au miaka kupita (Rejelea "Ungependa kutoka na nani" by Nyani Ngabu)