Mmmmmm!! Kaka hanielewi baada ya kuvunja ahadi

Sorry, leo sijavaa mawani yangu........... ulimaanisha fair au? Kama ni hivyo ulitaka aendelee kufanya siri siyo? So infidelity inakuwa fair ikifanyika kwa siri? Sasa nimekuelewa vema!
ok nilimaanisha fair! si fair hapo uliposema wife anasafiri....
 
And why on earth should she tell her brother while she is answerable to her husband?

Mi hata siwaelewi. Huyo kaka anamsaidia kuukabili mtarimbo wa mumewe? UKISHAAMUA KUOLEWA PRETTY WANGU, unaachana na Baba na mama yako na vinavyohusiana nao unaelekeza nguvu, juhudi, maarifa, akili, muda na mwili wako (hasa uke wako) kwa MUMEO NA FAMILIA YAKO. Period!
Kwetu,unapoolewa kaka yako ndie anakutoa kwa mumeo uolewe nae......anawajibika kwa mengi katika ndoa yako.SIKU ILE YA HARUSI ANGESEMA SITAKI UOLEWE INGEKUWAJE?......UTAONA FAIDA YAKE UTAKAPOPATA MATATIZO(SIYAOMBEI YAJE)....MUME ANAWEZA AKAAMUA KUKUPIGA CHINI.....LAKINI UNDUGU NA KAKA YAKO UPO PALE PALE..HAIFAI KUMKASIRISHA.
 
Sasa hizo habari za kwenu ndo unaleta hapa!
 
The Following User Says Thank You to Da Womanizer For This Useful Post:

Asprin (Today)​

Need I say More?
 
Imeandikwa kuwa atamuacha babaye, mamaye, kakaye, dadaye, rafikize naye ataambatana naye na kuwa mwili mmoja. Tell your brother to get his own life...
 
And why on earth should she tell her brother while she is answerable to her husband?

Mi hata siwaelewi. Huyo kaka anamsaidia kuukabili mtarimbo wa mumewe? UKISHAAMUA KUOLEWA PRETTY WANGU, unaachana na Baba na mama yako na vinavyohusiana nao unaelekeza nguvu, juhudi, maarifa, akili, muda na mwili wako (hasa uke wako) kwa MUMEO NA FAMILIA YAKO. Period!

mweeehhh......
 
1.Mhakikishie kaka yako kuwa utazidisha bidii ya masomo na utafaulu sana.
2.Mweleze mumeo kuwa masomo kwako ni muhimu sana sana hivyo unategemea support kubwa toka kwake.
3. Nawe pia fanya juu chini usome kwa juhududi zote,ikiwezekana hata ndimu tembea nayo kwenye bag ili usipoteze muda wa kwenda kuitafuta gengeni ili uzuie kichefuchefu(just in case).Perfomance yako ikishakuwa nzuri, kamwonyeshe kaka .......utaona atakavyochekelea.

4.Baada ya hapo beba mimba nyingine kumuonyesha kuwa hata wewe kweli ni kijike na unamjali mumeo na familia yako....naamini hapa amani itakuwa pote kwa kaka na mume!!! :lol:
 
Sasa hizo habari za kwenu ndo unaleta hapa!
tatizo mkuu huwa huendi mara kwa mara kwenye maharusi, pale, utakuta kaka anamkabidhi dada yake aolewe mbele ya kadamnasi,yanayofanyika kwetu ndio hayahaya hufanyika karibu kila sehemu, ha ha ha ha.
 
Kaka huyo ni wa aina yake!..We muache atakubaliana na hali halisi kurudisha moyo!..Vizuri ujitahidi shule&maisha ili umwonyeshe kuwa unaweza kuhimili mikiki ya maisha na kufanikiwa..
 
Huyo kaka yako kanifanya niwaze vingine harafu nimekemea kwa jina la yesu mawazo mabaya yaondoke.
Kaka yako kwa sasa hahusiki na maisha yako ya ndoa zaidi ya mumeo labda kama akiona ndoa yako inaharibikiwa ndio anatakiwa atie neno ,Kwanini hataki kuelewa hili?
Nadhani akijapata ka uncle atakuwa normal mpe muda ajiweke sawa kuukubali ukweli
 
Huyo KAKA anaingiaje hadi ndani kabisa kukushauri ubebe mimba au usibebe...thats too much

Mpotezee, akikua ataacha

ita natural..nadhani Ndege ya Uchumi ameelezea vizuri nadharia yake hapa nadhani ndicho kinachomsumbua........sasa na wewe Pretty Concentrate kwa mumeo kama alivokushauri Hommie apo!
 
Kaka huyo ni wa aina yake!..We muache atakubaliana na hali halisi kurudisha moyo!..Vizuri ujitahidi shule&maisha ili umwonyeshe kuwa unaweza kuhimili mikiki ya maisha na kufanikiwa..
Ushauri mzuri. Ila BJ kwa usalama wa baioloji yangu na usalama wa hawa mabinti hapa kibaruani na kwa ajili ya ufanisi mzuri wa kazi na kwa ajili ya usalawa wa screen ya kompyuta yangu, nakuomba kwa nia njema kabisa uibadili hiyo avatar yako.

Tafadhali Tafadhali Tafadhali:focus:
 
jamani huyu kaka pengine ndie aliyekuwa akitoa pesa za pretty kwenda shule miaka yake yote .................sasa anaona kamlostisha!

hebu njoo ueleze huyu kaka kwa nini akawa na mamlaka makubwa hivi na shule yako?
 
hehehehe!
haki a nani huyo kaka huyo....!
kaa mi ndo mme wake pretty huyo kaka huyo namuweka ndani!.....

manake mi waifu alikonsivu usiku wa harusi etu!ukikubali!...
mwambie kakaako huyo kama anaweza ''asimame'' kwenye pozisheni ako NDOAWAIZ
 
Kwetu,unapoolewa kaka yako ndie anakutoa kwa mumeo uolewe nae......anawajibika kwa mengi katika ndoa yako.SIKU ILE YA HARUSI ANGESEMA SITAKI UOLEWE INGEKUWAJE?......UTAONA FAIDA YAKE UTAKAPOPATA MATATIZO(SIYAOMBEI YAJE)....MUME ANAWEZA AKAAMUA KUKUPIGA CHINI.....LAKINI UNDUGU NA KAKA YAKO UPO PALE PALE..HAIFAI KUMKASIRISHA.

Kumkasirisha ndio asibebe Mimba?
Labda kaka yako analijua lijamaa fika ndo maana hakupenda yote haya:pray:
 
Hivi mwenye mamlaka ya kumjaza mwanamke ujauzito ni MUME au KAKA?:violin:
 
Back
Top Bottom