MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 166
Kweli Bro alitaka akuoe yeye au nini. Kufuatilia ndoa ya mtu HAIKUBALIKI!! Ili mradi wazazi walikubali na ukaolewa basi nawe utulie kwa huyo mume wako. Ukisikiliza mtu mwingine, kesho tu hiyo ndoa itakuwa ndoana- VUNJA UKIMYA "HUWEZI KUWAFURAHISHA WOTE ILA MUMEO TU mpigie zeze adi alale:violin:!!!!!!!Tell your bro to mind his own business. Ndo wanaovunja ndoa za watu hao. Anakuwa kama wifi bana aaaargh.