Mchomamoto
Senior Member
- Aug 19, 2011
- 169
- 36
Have a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.
Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!
I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!
mmmh kaushauri kazuri sana!!!tatizo ataweza? maana atapandisha magadhabu yake aanze kumwaga maji hovyo chumbani, atupetupe nguo na kama kuna laptonga mezani basi atataka akapige chini kapasuke mmm mweehhh!!!