gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Hahahah dah!!
Ushauri toka kwa ODM...... Zingatia alichokuambia King'asti hap juu.
Mungu akuhurumie na akuongoze katika njia zako!
Amen!!
mstari wa moyo.........."ikumbuke ahadi uliyomwambia mtumishi wako ya kwamba umemtumanisha na hii ndiyo faraja siku ya taabu yake ya kwamba ahadi yako imemuhuisha."
amen