Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Kamanda mbowe amewatuliza wananchi waliokuwa wanashaka na Olemilya na amesema kuwa CDM ni Chama makini kwahiyo kitamuadilisha Ole milya na wote wanaovua magamba na kuhamia CDM. Mbowe amesema kuwa hata baadhi ya wabunge wa CDM walihamia toka CUF, TLP, CCM lakin waliweza kuwafunza, alitoa mfano wa Wenje kuwa alitoka CCM. Kuhusu Usukaj wa Baraza la Mawazir Kamanda Mbowe amesema kuwa J.k amevunja katiba na kulidharau bunge baada ya kuteua wabunge na muda mchache kuwapa uwaziri na kuwataka waanze kazi bila kula kiapo Cha ubunge. MBOWE ameahidi kuwa atapanga upya baraza lake ili wakiingia bungeni wapinge uvunjaji huo wa katiba aliofanya J.K. Katika hatua nyingine kamanda wa anga alitoa taarifa kuwa wapo wabunge wa CCM 70 Walio mfuata kufanya booking ya nafasi za uongozi na hata katika baraza jipya linalo apishwa juma tatu Takribani mawaziri 9 wamemfuata wakitaka kufanya booking. Mwisho kamanda mbowe alifanya harambee na akakusanya zaid ya mil 1 ambayo itatumika kuendeleza Mv4change
 
Mstake kukuza mambo bana.mbona wananchi wa Mbeya walisema Mbeya nchi rais Sugu.kama mmechokwa amuwezi lazimisha wa2 wawapende ba ndugu na mcpo soma nyakati bac mda utawaondoa.
 
Two wrongs do not make a right!

Hatuwezi kufanya makosa kwa sababu tu huko nyuma watu walifanya hivyo hivyo! Uelewa wa watu mwaka 1972 na hata 1990 unaweza kuwa mdogo, sasa hivi tatizo ni nini? hawaelewi katiba? au watu wanaendesha nchi ni kwa "mazoea?

Mkuu ulichosema hapo ni ukweli mtupu!!

Na huyo jamaa alitaka kuwa Mbunge pale Kyela na ana embrace ukiukwaji wa katiba watu wa namna hii hawafai kuwa hata viongozi wa mitaa, mtu anajitia ujuaji katika umahiri wa kuvunja katiba??

This is pity!!
 
JKwakati anatangaza baraza lake jana alikuwa na wenge over siafu alikuwa anajua nini anafanya madudu tupu

Wakuu, CHADEMA walitangaza kufanya maadamano makubwa LEO kupinga kukatika kwa umeme mjini SONGEA leo JMOSI. Inasemekana kuwa leo umeme haujakatika. Je nikwelli? Maandamano yamefanyika au la??/SIZE]
 
Mkutano ni saa nane watu wameshanzaa kutia timu ama kweli watu wana usongo...

Picha za awali

=====
View attachment 53513
View attachment 53514
======
View attachment 53517View attachment 53525
View attachment 53518
View attachment 53519
View attachment 53520
View attachment 53521
View attachment 53522View attachment 53524
Baada ya kuona makamanda wanaendelea vema kuripoti yanayoendelea NMC nimeona bpra nishughulie na picha zaidi

View attachment 53532
View attachment 53533
Peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
View attachment 53534
View attachment 53535
View attachment 53536
View attachment 53537Movement For Change - Vua Gamba Vaa Gwanda.....Hakuna kulala mpaka kieleweke...
MKUU THIS IS WHAT WE REAL WANT. STRUGGLE TO UPROOT THIS CURRUPT GOVERNMENT IS THROUGH JOIN EFFORTS OF THESE PEOPLE, WITH GOOD WILL TO OUR COUNTRY. TOGETHER WE WILL GUYS. BIG UP ARUSHA! BIG UP NATIONALISTS!bIG UP CHADEMA.
 
"ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki

Na mimi ni Rais wa mbezi,pia tuna rais wa wasafi,tuna rais wa masharobalo,tuna rais wa sinza mariaga,kuna rais wa akudo,kuna prezdar nyoshi el saadat,tuna rais wa wasanii,tuna rais wa chuo etc nao ni waahini?
 
Pongezi sana Crashwise, Inabidi Uzunguke na Kamanda lema Nchi nzima, Mods hizi picha mzipige chata ya JF maana ndiyo original source naona zinaanza kutumiwa na Blog Mbali mbali.
 
NasDaz,

..kwanini watu wa kusini kama wewe ambao mna mwamko msianzishe harakati huko Kusini halafu CDM wakawaongezea nguvu?

..juzi hapa tumesikia jamaa wa Same Kilimanjaro ambako ni ngome ya CCM wanaomba viongozi wa CDM wawapelekee kadi na bendera ili kuitambulisha CDM ktk maeneo ya Same.

..usitegemee Nassary na Lema waje wakuletee ukombozi kusini. hao hawawezi kufanya kazi nzuri kuwashinda nyinyi wenyeji wa kusini ambao mnaelewa mila na taratibu za kwenu.

Nitarudia tena na tena....politics is like business, lakini si business kwa maana ya eneo la kujinufaisha; la hasha!! CDM ni chama cha siasa, na lengo la chama chochote cha siasa ni kukamata dola!! Endapo unataka kukamata dola ni lazima utafute uungwaji mkono na sio mimi nitafute wa kumuunga mkono!! Uungwaji mkono, unatafutwa na katu hauji by chance! Wewe ni shahidi, Kanda ya Ziwa ilikuwa ni ngome ya CCM na kidogo UDP! Baada ya Operesheni Sangara ndipo CDM ikaotesha mizizi huko!! Hakukuwa na mizizi ya CDM Southern Highlands....ni baaada tu ya harakati za makusudi za CDM kwenda huko!!
Usijifanye mpofu!
Kukubali weakness, ni hatua moja mbele kuelekea mafanikio! Wewe, wenzako wengi hamtaki kuyakubali mapungufu hayo! Mtu anaweza kuwa na mwamko, lakini asiwe politician....!! Wapo wanaharakati wa kweli, hawa hawajali kama ni CDM, CCM au CUF ndio wanapaswa kushika dola! Wao wanachojali ni kuwepo kwa chama makini kinachokidhi imani yao!!! Lakini CDM, si taasisi ya kiharakati...ni taasisi ya kisiasa! Hawa, hata kama watakuwa na uhakika wa 100% kwamba CCM wataigeuza TZ na kuwa kama USA na wao hawana uwezo huo; bado dhamira yao ya kuongoza itabaki palepale! Kuamsha hamasa, ni wajibu wa chama chochote kilicho makini! Usifanye kama hujui wakati unajua!

Binafsi, nilizani ninawasaidia, kumbe kwavile hamuelewi mnaona kinyume chake! Sio kwamba Kusini na pwani hakuna upinzani....HAKUNA CHADEMA!!!!! Watu wa huko, huenda walikata shauri la kuamka kupitia CUF kwavile ndio ambao walikata shauri la kuwaambia "IT'S TIME FOR CHANGE!" Nyie vp?!
 
Pamoja sana Makamanda lakini mbona kila siku Arusha tu Tanzania kubwa.

Mkuu hata wakati wa kufanya mtihani huwa tunaanza na maswali yenye ushirikiano kwanza then tunamalizia na yale magumu. Hapa Arusha Ndipo CHADEMA imeweka charger yake ya kusonga mbele kwa maana ya kupata matumaini mapya . Kutoka hapa then ndo wanapata nguvu ya kwenda mikoa ambayo bado wanawaona wakoloni kama wakombozi wao
 
Mkuu Excellent,
Huruhusiwi kushiriki shughuli za bunge kule bungeni mpaka uwe umeapshwa na spika. Hivyo kanuni ilikuwa sawa kumzuia huyo mama kuuliza swali bungeni kabla ya kuapishwa.

Lakini huzuiwi kufanya shughuli zingine zozote za kibunge kwa mfano jimboni kwako unaweza kuendesha mikutano kama mbunge hata kama hujaapishwa.

Hao mawaziri hawawezi kwenda bungeni kujibu maswali au kuwasilisha budget mpaka waapishwe kwanza lakini kama watendaji wa serikali wanaruhusiwa kufanya shughuli zao za uwaziri kama kawaida.
Mkuu hiyo katiba ya wapi inayosema anaruhusiwa kufanya shughuli zingene za bunge (tupe kifungu).
Kazi ya uwaziri si kujibu maswali tu kuna kuandaa bajeti na miswada, kumbuka bajeti inaandaliwa wiki tatu kabla ya kikao.
 
"ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki

Wana Chadema waige ustaarabu wa mbowe,hakuna mtu mstaarabu kwenye hiki chama zaidi ya huyu bwana.
 
Sugu Rais wa Mbeya, Nasari rais wa arumeru, Rema waziri mkuu wa arusha. je kosa liko wapi?.
 
kanali kimbau alisema serekali haijali mafia,,,anajitangaza rais wa kwanza wa mafia,,,,,,,hiyo imekaaje.....siasa si hasa,,,vivavnasari anataka meru isikilizwe,,itambuliwe ,,wameru wanalipa kodi,,,serekali inawajibika vipi kwa wameru,,,,,tuache hila,,,
 
Acha kuongeza chumvi tulikuwepo uwanjani.

"ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki
 
Masikini Tanganyika yangu Chadema wanataka kuigawa vipande.
Usihofu tutawaachia Pwani, Dar, Lindi na Ntwara ili muendelee kuuenzi mchezo wenu wa bao,
mkitaka mnaweza kuungana na videbwedo wa kuleee nasikia hawawataki wanyamwezi.
 
Back
Top Bottom