Mkutano wa CHADEMA Tunduma Waingia Doa

Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Hawa ndio wanajaribu kutengeneza taswira chafu,fake kwa malengo ya kuwachafua wapinzani na wazalendo wa kweli sio🤔
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Upo Tunduma sehemu gani?
 
Nikukimbie wewe dada? Njoo wewe mboye, mzee wa faragha,mnyika aliyewehuka, pumbalu na wote
Haya thibitisha uongo wako , Kapuku wee !

FB_IMG_1677252060972.jpg
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo

Hahaaaaaa Umebadili ID Kantrewaidi? Kuchapiwa ni kawaida mkuu.
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo

IMG_4813.jpg

IMG_4814.jpg

IMG_4812.jpg

Wananchi wengi ‘wagoma’ kuhudhuria Tunduma.
Tuache uongo usio na mantiki,nipo Tunduma na watu walikua wengi sana
Mm ni mwana CCM na Silinde atafute tu kazi ingine hawezi shinda Tunduma wala Momba
 
Huyo ni Countrywide amebadili ID baada ya kuona watu wanamsagia kunguni kugongewa Mkewe Joan na kufuta Picha zote Instagram.

Nilivyoona Title ya uzi nikajua ni yeye tu Kantrewaidi.
Huwa sijibu Mashoga, wewe ntakujibu.
 
Back
Top Bottom