Pongezi kwa Sheikh Mwaipopo, wananchi wengi walikuelewa na kususia Mkutano wa CHADEMA

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and our enemies,

Nichukue nafasi hii kumpongeza Sheikh Mwaipopo kwa uthubutu wake wa kusimama na kuwakemea CHADEMA na baadhi ya maaskofu kwa kile tunachoweza kukiita ni choko choko za kutaka kuliingiza Taifa hili kwenye taharuki na chuki za kidini ikiwa ni pamoja na kuigombanisha serikali hii na wananchi wake.

Kwa ufupi mkutano huo ambao uligeuka kuwa kama ni kongamano tuh la Injili na uwanja wa kutoa wanakondoo mapepo haukufanana ulipuuzwa na kila Mtanzania mwenye akili timamu.

Yes, nasema liligeuka kama ni kongamano la Injili kwani nilimshuhudia kwenye video Askofu mmoja akisherehesha mkutano huo kwa kutamka kwa ushujaa wa hali ya juu kuwa 'Bwana Yesu Asifiwe'. Hapo nikajitosheleza pasipo na shaka kuwa kumbe ajenda yao ni kutengeneza coalition of the willing baina yao wanasiasa wa CHADEMA na hao viongozi wa dini ili kupenyeza ajenda zao za hovyo kwa Taifa letu.

Hakika kongamano lile nalifananisha na timu ya mpira wa miguu iliyokuwa kwenye mechi za maandalizi ya msimu mpya, yaani pre season matches preparations. CHADEMA wamekipata kipimo halisi ni namna gani wao kama team ilivyo mbovu na jinsi ambavyo mashabiki wake walivyoichoka.

Hii iwe fundisho kwa vyama vingine kuwa ni mwiko kutumia ajenda za kisiasa kwa mwamvuli wa dini, kwani anguko lake linakuwa ni baya sana.

Once again, hongera sana Sheikh Mwaipopo, hakika uthubutu wako umeleta matokeo chanya.
 
Kwanza nataka uondoe propaganda mfu. Mkutano ulifanyika na watu wengi walikuja, na ulifana sana. Kama wewe uliangalia picha za saa tano asubuhi, nenda kaangalie za saa kumi jioni!

Lakini pia nikwambie tu kuingiza udini katika jambo hili ni Ujinga , Kwani unafikiri Askofu mmoja tu let say mwamposa angesema watu waende mkutanoni pangetosha?

Huyo Mwaipopo yeye ni chawa wa Sheikh Alhadi, Alhadi alipofukuzwa kazi akamgeuka
Hakuna Sheikh pale, ni opportunist tu!

Huu mkutano unaona watu ni wachache?

1690365302255.png
 
Huu mkataba wa Kimangungo Wajinga wanauhusisha na DINI. Mkataba huu Ibara ya 4(2) unaitaka Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, ikaombe ridhaa Dubai, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? Huu ujinga unapopingwa, Hawa vilaza wanasema chuki za kidini.
Sio kweli kwamba Tanzania nchi huru inatakiwa kuomba kibali popote pale. huu ni upotoshaji ambao umefanikiwa kuzipata akili za wachache na miongoni mwao ni wewe mkuu eliasmisinzo.

DP World wanakwenda kumiliki asilimia nane tu ya eneo zima la bandari ya Tanzania. Mmejazwa uoga na nyinyi mazima mmeingizwa mkenge.
 
Kwanza nataka uondoe propaganda mfu. Mkutano ulifanyika na watu wengi walikuja, na ulifana sana. Kama wewe uliangalia picha za saa tano asubuhi, nenda kaangalie za saa kumi jioni!

Lakini pia nikwambie tu kuingiza udini katika jambo hili ni Ujinga , Kwani unafikiri Askofu mmoja tu let say mwamposa angesema watu waende mkutanoni pangetosha?

Huyo Mwaipopo yeye ni chawa wa Sheikh Alhadi, Alhadi alipofukuzwa kazi akamgeuka
Hakuna Sheikh pale, ni opportunist tu!

Huu mkutano unaona watu ni wachache?

View attachment 2699598
hajui kama Mwamposa anarekodi yakuujaza uwanja wa taifa na bado nje kukawa na mtiti wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nataka uondoe propaganda mfu. Mkutano ulifanyika na watu wengi walikuja, na ulifana sana. Kama wewe uliangalia picha za saa tano asubuhi, nenda kaangalie za saa kumi jioni!

Lakini pia nikwambie tu kuingiza udini katika jambo hili ni Ujinga , Kwani unafikiri Askofu mmoja tu let say mwamposa angesema watu waende mkutanoni pangetosha?

Huyo Mwaipopo yeye ni chawa wa Sheikh Alhadi, Alhadi alipofukuzwa kazi akamgeuka
Hakuna Sheikh pale, ni opportunist tu!

Huu mkutano unaona watu ni wachache?

View attachment 2699598
Ahsante Dar kwa kumdharau Sheikh ubwabwa.
 
Ni wachache sana. We unaijua Mwanza? Hili ni Jiji likishika nafasi ya Pili au tatu TZ. Maana sijui kama Dodoma imeshaipiku Mwanza. Sasa chama kikuu cha upinzani kwa watu hao ni aibu, hasa ukizingatia kwamba CHADEMA ni mkutano wa kwanza toka kupigwa marufuku mikutano ya hadhara.
Kama hao wooote wakaipigia CHADEMA, hakika nakwambia hiyo 1/10 ya wapiga kura wa Mwanza mjini. Jiulize hao wengine (9/10) watampigia Nani?
 
Mungu hasusiwi na walio wa Mungu BALI hususiwa na walio wa YULE MWOVU.
CDM inafanya yaliyo ya MUNGU BALI "nyie" mnafanya yaliyo ya yule mwovu
 
Back
Top Bottom