Mkutano wa CHADEMA Tunduma Waingia Doa

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,256
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
 
Attachments

  • Screenshot_20230224-170901_Chrome.jpg
    Screenshot_20230224-170901_Chrome.jpg
    65.6 KB · Views: 9
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Wewe upo Tunduma ipi?
 
Uko sehemu gani? Maana nami niko kwenye mkutano na hakuna mahali pa kukanyaga. Chawa wewe!!!
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Usipende kujishushia heshima kwa lazima .
Nipo Tunduma watu ni wengi
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Perekeni mkutano wenu na malori ya kusomba watu.
Cdm achana nayo imo mioyoni mwa watu.
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Wacha weee!🤣🤣
 
Usikimbie JF , Wazandiki kama wewe mara zote ni size yangu , utadhalilika vibaya sana
 
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.

Hii Ina maana gani? Nilitegemea sehemu Kama hii kutoa ushirikiano mkubwa kwa chadema lakini imekua kinyume chake kwani imeacha simanzi kwa chama hiki pinzani.

Chadema wanapaswa kujua kuwa kwa sasa wananchi hawapendi kabisa mambo ya kupingana na serikali. Wananchi wanataka maendeleo
Endelea kulala jicho wazi kisa unaitakia mabaya CDM, huku ukidhan kulala kwako bila nguo tena jicho waz itakusaidia badala yake unakuja mwagiwa mayai kwa ujinga wako!!!
 
Back
Top Bottom