Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi..
Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi ni sera ya CCM?
Mbona huyu Nape anaporomosha matusi jukwaani pale Jangwani Chadema Square.
Source: Live ITV.
mboa aliahidi kuwa mkutano wa leo watajikita kwenye sera