Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

Status
Not open for further replies.
nape ni mkiristo. wao dini 1 halafu ndio taifa. nasikia amesema NECTA italindwa na itaendelea kuwakandamiza waislam. huyu ndio nape
 
Nape kawatukana Uamsho na Waislamu kwa ujumla hilo hata mtu mwenye kushughulisha ubongo wake analijua hilo...... Maana viongozi wa Uamsho wote ni Masheikh na ni viongozi wa misikiti hapa Zanzibar... Haya Uamsho toeni tamko dhidi ya kauli ya Nape maana Uamsho typically ni mke mdogo wa CCM i mean CUF walishaolewa na CCM.....
 
Kwa nini mnapenda kulisha watu maneno, au ving'amuzi vya TV zenu vinatafsiri toka Kiswahili kwenda Kichina? Na mbona mnatooa maneno mpaka yanabadili muktadha na maana yake halisi? Nape ana madhaifu yake, lkn haifai na wala si tiketi ya kumlisha ambayo hakusema.
Wewe umesikia nini mwanafunzi? wewe unatumia king'amuzi cha wapi? ina maana sisi wote unatuona twafanana na wewe? rudi darasani kwani unapoteza muda hapa utafeli bure.
 
Bw. Wasira a.k.a Tyson anasema wapinzani wanafanya KUFURU kusema CCM haijafanya Chochote nchi hii. Ninavyofahamu Kufanya kufuru ni kutokufuata maelekezo ya MUNGU. Sasa iweje kuisema ccm iwe kufuru!!! Kwa kauli hizo nani anafanya kufuru hapo? CCM au Chadema.
 
Kwa nini mnapenda kulisha watu maneno, au ving'amuzi vya TV zenu vinatafsiri toka Kiswahili kwenda Kichina? Na mbona mnatooa maneno mpaka yanabadili muktadha na maana yake halisi? Nape ana madhaifu yake, lkn haifai na wala si tiketi ya kumlisha ambayo hakusema.
Wewe mama Vipi? yeye atukane waislam halafu tunyamaze kimya? hujui Nape kama kioo cha jamii? hii ni hatari sana
 
uamsho wanawakilisha uislam? matendo ya uamsho ni matendo ya uislam? hivyo waislam wanaweza kufanya matendo ya kuchoma makanisa kiasi kile? basi waislam ni majambazi.....kama mnaweza kutetea uamsho basi na nyinyi ni majambazi kama uamsho...
 
JF imeingiliwa na wehu!Tatizo watu wengine mna aklili kama za Mbuzi,how come mtu huja verify statement iliyotolewa unaaanza kupandisha Jazba kama vile umetiwa ndimu sikioni?
 
nipo zanzibar: Nape aanza kupingwa, Uamsho kutoa kauli nzito jioni hii.
Watato tamko hilo katikia msikiiti wa Daraja bovu.
Kwakweli nape amechefua watu wengi Zanzibar.
Amewataja viongozi wa UAMSHO Ni wahunu huku Hata Mweenyekiti wake Jk Hajafanya uhuni kama huu.maana Shein katika hotuba yake aliwaita UAMSHO ni masheikh wanaoheshimika ndio maana wakapewa usajili
Watu wengi walitegemea NAPE kuzungumzia SAKATA LA NECTA na waislam na sio UAMSHO tena
 
JK Wacha ile kwako!U deserve kuvuna ulichokipanda..napenda kinachotokea sasa maana ni matokeo ya Baba asie na muda na familia yake!!!
 
JF imeingiliwa na wehu!Tatizo watu wengine mna aklili kama za Mbuzi,how come mtu huja verify statement iliyotolewa unaaanza kupandisha Jazba kama vile umetiwa ndimu sikioni?
hATA jk Hakuwaita waislam majambazi. NAPE anajazba,uamsho ni jumuia iliosajiliwa Kihalali na kuingozwa kama wanvyoongoza mapadri. NAPE amewatukana waislam.nasikia amedai Hata walipinga necta jana ni wahuni. CCM CCM CCM CCM OYEEE
 
Hii ndio mikutano inayofanywa na chama tawala,hakuna sera huko ni matusi kwa kwenda mbele Kama kawaida yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom