Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

Status
Not open for further replies.
Nape!kakosea sana,inabidi afute kauli vinginevyo ashitakiwe upi ni ujambazi wa UAMSHO?
 
Lazima tumjadili Nape anadharau Waislam mbona Chadema hawakusema lolote Kuhusu Uamsho ni kwasababu wanajua ni kikundi cha Kuabudu mungu lakini kumbe CCM inawaona ni Majambazi?
 
Nasikia amewashukia wanaipinga necta hapo jangwani.anasema atailinda kwa nguvu zote . Ametupia lawama uamsho

Umeingia Siasa Jana!!! Haujui Historia ya Wanasiasa wetu; Ungeuliza kabla ya kuposti...

Watanganyika Sio lazima wewe na Majina ya Kikristo au Kiuslamu; Na Nape ni Muislamu hauoni Picha Zake?
 
mama yangu!......Kweli Nape umefulia ubongo,how come unawaita watu majambazi,je unaweza kuthibitisha?
 
ni kitu gani kilichokufanya ukafikiria uislam na ukristo?kwa mpagani hafai kuwa kiongozi?je angetamka kingunge hivyo mngesema ni dini gani?

nape nasikia kasema Atailinda NECTA kwa nguvu zote. Atahahakisha ndalichako analindwa ili kanisa liendelee. huyu ndio NAPE
 
Umeingia Siasa Jana!!! Haujui Historia ya Wanasiasa wetu; Ungeuliza kabla ya kuposti...

Watanganyika Sio lazima wewe na Majina ya Kikristo au Kiuslamu; Na Nape ni Muislamu hauoni Picha Zake?

Na hata wengine wana majina ya kiislam wanaenda misikitin lkn wanajisumbua tu bado siyo waislam!
 
Kwa nini mnapenda kulisha watu maneno, au ving'amuzi vya TV zenu vinatafsiri toka Kiswahili kwenda Kichina? Na mbona mnatooa maneno mpaka yanabadili muktadha na maana yake halisi? Nape ana madhaifu yake, lkn haifai na wala si tiketi ya kumlisha ambayo hakusema.
 
Jamani jamani! Nape awatukana waislamu ati Majambazi? kwa hyo nao walowasijri ni Majambazi na Wezi? hakika ametukana ndugu zetu wazanzibari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom