Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Na bado mtasimamishana mpaka urais
source east africa radio breaking news
Haaahaaa! Labda watu wako serious sasa hivi. Lets wait and see.
Watanzania watu wa ajabu sana, watu wa kuridhika na matatizo.
Wamekosa habari kwa sababu radio na TV zilizima, umeme ulikata, na ndio kawaida.
Kesho yake wanaamka na taarifa kwamba, mkubwa wa kampuni inayoshughulikia umeme kawa fired, wanauliza "kafanya nini?"
Ni ile ishu ya Umeme Bungeni or, mbona vipaza sauti vilikuwa vinafanya kazi but taa ndio zilikuwa zimezimika, au hivyo vipaza sauti havitumii umeme, Mi nilidhani mule ndani walizima taa wenyewe wakijifanya umeme umekatika,(eti umeme umekatika) ili wamnyemelee Mnyika, but Mungu ni Mkubwa!
Hapo mkuu umelenga,na akisimama jukwaani watakuwa wa kwanza kudai kuwa kaonewa.
Watanzania watu wa ajabu sana, watu wa kuridhika na matatizo.
Wamekosa habari kwa sababu radio na TV zilizima, umeme ulikata, na ndio kawaida.
Kesho yake wanaamka na taarifa kwamba, mkubwa wa kampuni inayoshughulikia umeme kawa fired, wanauliza "kafanya nini?"
Amesimamishwa na bodi ya wakurugenzi kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za shirika, msaidizi wake pi kasimamishwa
Na maafisa waaandamizi wengine ili kupisha uchunguZi wa tume huru.
Chanzo
Radio one
Amesimamishwa na bodi ya wakurugenzi kutokana na ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka Pia wako maofisa wengine wa ngazi za juu.
ITV.
Akome alimnyanyasa sana HR-Director wake ambaye alileta mabadiliko makubwa Tanesco.
Hiyo bodi ya wakurugenzi ni mpya au ipo tangu zamani? Kama ipo tangu zamani walikuwa wapi muda mpaka mkurugenzi mkuu akafanya ubadhirifu, ukizingatia kuwa TANESCO na mashirika mengine ni sawa kama yanaendeshwa na bodi na wanasiasa?