Mkurugenzi Mtendaji TANESCO asimamishwa kazi

Status
Not open for further replies.
Mi nasubiri watanzania tutakapomsimamisha kazi Luteni Kanali Dokta Dakta Docta Jakaya Mrisho Kikwete
 
Baada ya kuondoka dr.idrisa na nafasi yake kuchukuliwa na mkurugenzi mpya bw.mhando ambaye kwa bahati nzuri alikuwa ni mmoja wa maofsa wa siku nyingi wa shirika hili binafsi tasfiri yangu (wkt huo) ilikuwa tanesko wameshindwa kumpata mtu sahihi wa kushika nafasi hii.kama mbadala wameamua kumpa bw.mhando pengine kwa kuwa ni mtu wa muda mrefu ndani ya shirika.

Baada ya uamuzi huu wa bodi naanza kuona 'sense' ya niliyoyafikiri kipindi hicho

Ukweli ni kwamba nafasi hii (hasa kwa shirika kubwa km tanesko) ni nyeti sana na inahitaji mtu mwenye 'uwezo wa kipekee'

Believe me, watu hawa wapo kwenye jamii yetu lakini SI WENGI hasa kwa tanzania ya leo, in short kuna shortage kubwa sana ya 'director general material' nchini kwa sasa
 
Amekosa nini jamani huyu kiumbe?, mbona anafanya kazi vizuri na anaimudu vyema kazi yake?.

Kazi nzuri ipi? Wife jana kanipigia anauliza kama mgao umeanza maana Arusha hadi jana ilikuwa siku ya 4 bila umeme!
Si wangetoa taarifa na kuomba radhi? Umeme na maji kila siku tunalipia capacity charges (service charge) umeme/maji yawepo au yasiwepo, maana yake nini kama hawatupi huduma na taarifa za ukweli hawatupi?
 
Baada ya kuondoka dr.idrisa na nafasi yake kuchukuliwa na mkurugenzi mpya bw.mhando ambaye kwa bahati nzuri alikuwa ni mmoja wa maofsa wa siku nyingi wa shirika hili binafsi tasfiri yangu (wkt huo) ilikuwa tanesko wameshindwa kumpata mtu sahihi wa kushika nafasi hii.kama mbadala wameamua kumpa bw.mhando pengine kwa kuwa ni mtu wa muda mrefu ndani ya shirika.

Baada ya uamuzi huu wa bodi naanza kuona 'sense' ya niliyoyafikiri kipindi hicho

Ukweli ni kwamba nafasi hii (hasa kwa shirika kubwa km tanesko) ni nyeti sana na inahitaji mtu mwenye 'uwezo wa kipekee'

Believe me, watu hawa wapo kwenye jamii yetu lakini SI WENGI hasa kwa tanzania ya leo, in short kuna shortage kubwa sana ya 'director general material' nchini kwa sasa

Yah, uko right kabisa! So far kwa sasa mi nawaona wanne tu kwa tz, Dr. Kimey, Dr. Dau, Tido Mhando na bibi Joyce Mhavile. They are performing outstanding job kwa kweli(other things remain equal). Worst wao ni wa TRA(ameishiwa ubunifu, rushwa ya kufa mtu kwa maafsa wake,amshukuru Walid Juma kwani yuko serious, TPA,TANESCO,DAWASCO(yuko kwa ajili ya maji ikulu,masaki, obay nk, dar hakuna maji yao zaidi ya visima vya watu binafsi tu kuokoa jahazi) ,TIB,TBS(fake products ziko kibao),TFDA(low quality foods na drugs zimezagaa mtaani)
 
hawa jamaa wanaanza kujihami, wanajua bajeti ya wizara ya nishati na madini iko njiani kuchambuliwa na wabunge...na bado..wataipata...
 
Kiongozi wa nchi dhaifu, so wateule wake dhaifu pia. Na huyu mjeshi wa meremeta, na muuzaadini yetu anafanya nn tanesco..? hivi hakuna mainjinia wanaofaa kuongoza bodi..? Kama dhaifu anampenda sana mpeleke ktk bodi za wanyamapori akatoe mbinu za kuwalinda akina joji- faru ( hope sio kuiba twiga zaidi..!!)

umeme na mjeda wapi na wapi!!!
Labda walidhani umeme unaogopa yale manyota begani! Giza limewaumbua! Walikuwa wanasema ooh! Wanataka eti nchi isitawalike, Si muda mrefu watakiri kwa vinywa vyao "nchi haitawaliki"
manake naambiwa hata twiga wamejioganaizi wakimuona mtalii mbugani wanalianzisha!
 
Amesimamishwa na bodi ya wakurugenzi kutokana na ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka Pia wako maofisa wengine wa ngazi za juu.

ITV.

Majizi na mabadhirifu makubwa yamestarehe PPF
, wanafukuza waadilifu. PPF ni uizi kwa kwenda mbele, lakini hakuna kuguswa mpaka wanafikia hatua ya kutaka kuwauwa wanaosema ukweli juu ya ubadhirifu lakini wapi. Mungu siku moja atashuka mwenyewe kuwaumbua. Pole Mhando. sasa ulisaini na Tanesco kuchukua mkopo toka PPF wa Bilioni 15, na sasa unaondoka, tutalipwa kweli! au ndo tumetoa sadaka? INAUMA!!
 
Zanzibar-04-Arab-Coffee-Seller-71-30.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom