Mkombozi Bank;Ni sahihi kutumia Mpemba ktk tangazo la biashara ?

nimejenga hoja kiweledi kwani hii ni fani ambayo naifahamu. Lakini kuna mijutu inatokwa povu kweli. Wengine wanatumia viungo vyote kujenga hoja zao !
Ni hivi: Mkombozi ni Bank ya Wakatoliki na inatoza riba, ambayo ni dhambi kubwa kwa Waislaam. Majority ya wapemba ni Waislaam. Katika tafiti zilizofanywa, jamii ya Wapemba pamoja na Waislaam wengi kwa ujumla walikuwa hawaweki pesa Bank. Ndipo NBC, STANBIC, PBZ, KCB, na sasa AMANA BANK, zimeanzisha mfumo wa kifedha kwa kufuata nidhamu na taratibu za Kiislaam.
Sasa kuna haja gani ya kupigia debe watu ambao hawapo ?

umejenga hoja kiweledi, mijitu imetoka povu.... halafu na wewe lijitu nae ukatoka povu

Hivi kuna ubaya gani wakristu wakifungua akaunti zisizo na riba zinajulikana zaidi kama akaunti za waislamu???

Mbona unabagua bila busara??? assume mimi ni mkristu na nina akaunti KCB isiyo ya riba; je ntakua nimekosea?? na je, muislamu akifungua akaunti mkombozi amekosea??

cha maana ni bank policies kama zinaendana na malengo yako ya kuweka pesa benki............... umekaa kidini-dini tu

sijasikia lile tangazo hata sehemu moja likisema dini
 
maoni yako tunayatupa kapuni !
Insha'Allah ! Nashukuru kuwa mdini, ni jambo nalipigania usiku na mchana.
 
nimejenga hoja kiweledi kwani hii ni fani ambayo naifahamu. Lakini kuna mijutu inatokwa povu kweli. Wengine wanatumia viungo vyote kujenga hoja zao !
Ni hivi: Mkombozi ni Bank ya Wakatoliki na inatoza riba, ambayo ni dhambi kubwa kwa Waislaam. Majority ya wapemba ni Waislaam. Katika tafiti zilizofanywa, jamii ya Wapemba pamoja na Waislaam wengi kwa ujumla walikuwa hawaweki pesa Bank. Ndipo NBC, STANBIC, PBZ, KCB, na sasa AMANA BANK, zimeanzisha mfumo wa kifedha kwa kufuata nidhamu na taratibu za Kiislaam.
Sasa kuna haja gani ya kupigia debe watu ambao hawapo ?

Kwani aliyekwambia wewe wapemba wote ni waislamu ni nani?

Pili, unataka kuniambia kuwa waislamu wote hawachukui riba?

Acha kuwasemea watu wengine ndugu MDINI. Kila kukicha na sera za hovyo hovyo za udini wakati akili yenyewe huna. Juzi umeulizwa swali moja tu umelala mbele: Kama hamuliamini baraza la mitihani, mbona hamu-appeal irudiwe kusahihishwa mbele yenu badala yake mnapiga kelele kama mahayawani wakati hatua muafaka mnazijua?
 
maoni yako tunayatupa kapuni !
Insha'Allah ! Nashukuru kuwa mdini, ni jambo nalipigania usiku na mchana.

Pathetic Fool!

Ukitaka kujua mtu ni ignorant kiasi gani kwanza angalia tabia ya majumuisho; he can never stand alone. Unaposema maoni yako TUNAYATUPA kapuni, mnayatupa wewe na nani ikiwa huu ujinga umeuleta wewe binafsi? Unataka kuniambia kuwa umetumwa?
 
kwa hiyo we ***** fool unamshtakia nani humu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom