Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
- Thread starter
- #21
Nini tofauti ya Interest na Profit Margin ? Je, vitu hivi viko sawa ?
kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na mwenyezi mungu na mtume s.a.w
Hoyce Tem ainisha basi hizo chuki na uchochezi ? Hivi unaweza kufanya biashara ya Rozari Msikitini kwa kuwa tu, umeona Waislaam wanabeba 'Tasbih' ?hii ni post ya ubaguzi wa kidini. Inachochea chuki.
kama mkombozi bank wanatoa mikopo ya riba nafuu ba nina uhakika wapo waislam wengi tu wana account zao pale...nasema hivyo kwa sababu kuna waislam wengi tu tunaoishi nao bado wanachukua mikopo yenye riba kutoka kwenye mabenki yasiyo na mfumo wa kiislaam...fanya utafiti wako mwenyewe uone wafanyabiashara wa kiislaam (wakubwa/wadogo) wanachukua mikopo kutoka kwenye bank zipi...hayo mawazo mgando kama yako ya kufikiri kila kitu kilichoanzishwa na kanisa ni haram kwa waislam hawana waislam wote ndiyo maana wapo waislam wengi tu wanawapeleka watoto wao kwenye shule zilizoanzishwa na kanisa tena zenye masharti magumu kupita haya ya riba kama vile kutokufunga wakati wa mwezi mtukufu...siyo kuuza rozari msikitini huko? mkuu sisi sote ni watanzania na usipende sana kueleza mawazo yako ya kibaguzi na kuyafanya ni ya waislam wote maana tupo wengi tu humu wenye ndugu wa karibu wa kiislaam na tunshirikiana nao katika mambo mengi tu ambayo wewe unayaita 'kuuza rozari msikitini'Hoyce Tem ainisha basi hizo chuki na uchochezi ? Hivi unaweza kufanya biashara ya Rozari Msikitini kwa kuwa tu, umeona Waislaam wanabeba 'Tasbih' ?
Wako Waislaam ambao hawafungi, hawaswali, wana mahawara, wanakunywa pombe nk, hii si hoja ! Mie nimejaribu kuonyesha kuwa " Idea ya tangazo" haiko sawa ! Segment iliyolengwa haiwezi kuleta tija. Hebu jaribu kajadili hapo kama una weledi wa ''masoko na matangazo''kama mkombozi bank wanatoa mikopo ya riba nafuu ba nina uhakika wapo waislam wengi tu wana account zao pale...nasema hivyo kwa sababu kuna waislam wengi tu tunaoishi nao bado wanachukua mikopo yenye riba kutoka kwenye mabenki yasiyo na mfumo wa kiislaam...fanya utafiti wako mwenyewe uone wafanyabiashara wa kiislaam (wakubwa/wadogo) wanachukua mikopo kutoka kwenye bank zipi...hayo mawazo mgando kama yako ya kufikiri kila kitu kilichoanzishwa na kanisa ni haram kwa waislam hawana waislam wote ndiyo maana wapo waislam wengi tu wanawapeleka watoto wao kwenye shule zilizoanzishwa na kanisa tena zenye masharti magumu kupita haya ya riba kama vile kutokufunga wakati wa mwezi mtukufu...siyo kuuza rozari msikitini huko? mkuu sisi sote ni watanzania na usipende sana kueleza mawazo yako ya kibaguzi na kuyafanya ni ya waislam wote maana tupo wengi tu humu wenye ndugu wa karibu wa kiislaam na tunshirikiana nao katika mambo mengi tu ambayo wewe unayaita 'kuuza rozari msikitini'
soma vizuri post yako ya kwanza iiyoanzisha hii thread...ulikuwa na maana gani uliposema mpemba/muislam kuwekeza kwenye hii bank ni sawasawa na kuanzisha vita na s.a.w? mimi naona tangazo liko ok tu kama vile wanavyotumika wahindi, wasukuma, wachaga,wakurya kwenye matangazo mbalimbali...lengo ni kuhamasisha watanzania wote siyo kabila husika ndiyo maana nikasema hata wapemba/waislam watakuwa na account zao pale kitu ambacho umesema ni sawasawa na kuanzisha vita na s.a.w kwenye post yako ya kwanza...!Wako Waislaam ambao hawafungi, hawaswali, wana mahawara, wanakunywa pombe nk, hii si hoja ! Mie nimejaribu kuonyesha kuwa " Idea ya tangazo" haiko sawa ! Segment iliyolengwa haiwezi kuleta tija. Hebu jaribu kajadili hapo kama una weledi wa ''masoko na matangazo''
kwa maelezo ya ally kombo, wapemba wote ni waislam...ukichanganya na za kwako utapata jibu...!naomba kuuliza hivi wapemba wote ni Waislamu? na waislamu wote ni Wapemba?
Kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la Kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na Mwenyezi Mungu na Mtume s.a.w
Wewe adhabu yako ni kupuuzwa !
- hivi islamic banking yenu ilifikia wapi? au sote tumekubali kuwa wala kharam? unaeza kunipa takwimu zozote za wasilamu wanaotumia islamic banking, if it exists at all?
- halafu kwanini iwe vita na allah + mohamed na sio allah+younus au allah+daoud, kuna nini hapa kwa mohamed? hebu tujuze
- mie mpemba na nilishatangaza vita na mola wenu na mtume wenu na hadi leo nadunda tu
- karibu tuimalizie weekend leo, mvinyo + kitimoto on me.
Qur'an haijawahi kupitwa na wkati na haitapitwa na wakati, ndo maana Bank kubwa kama HBC inafuata mfumo wa Islamic Banking mfumo wa mika 1,600 !
Kupitia "aya 2:275, na 2:278." Mwenyezi Mungu amekataza riba na ameruhusu bishara ! Sasa unaweza kueleza tofauti ya riba na bishara ?
Qur'an haijawahi kupitwa na wkati na haitapitwa na wakati, ndo maana Bank kubwa kama HBC inafuata mfumo wa Islamic Banking mfumo wa mika 1,600 !
Kupitia "aya 2:275, na 2:278." Mwenyezi Mungu amekataza riba na ameruhusu bishara ! Sasa unaweza kueleza tofauti ya riba na bishara ?
Mwanafunzi umeelewa somo, ila unataka kupanga ubishi !ally, neno 'riba' halipo kabisa kwenye list ya vocabularies za Islamic banking. Lakini kutokuwepo kwa neno hilo (riba) haimaanishi kuwa lending ni free. Hakuna. Mfano, una tenda ya mchele, na gharama yake ni shs 1,000/= Lakini utawauzia hao waliokupa tenda shs 1,300/=. Hizi detaila zote za gharama na bei ya kununulia unawapa bank. Bank hawatakupa hela cash 1,000/= ila watanunua huo mchele na kukutaka urudishe gharama walizotumia kukamilisha hiyo tenda, na hutorudisha 1,000 waliyokupa ila utarusha 1,000 plus % ya nyongeza iliyopatikana yaani sehemu ile 300 mtagawana na bank.
Kwenye conventional banking watakupa cash shs 1,000/= na kukuambia urudishe shs 1,000= + interest rate. But Under Islamic banking watakupa mchele wa 1,000/= na kukutaka urudushe shs 1,000/= + sehemu ya nyongeza uliyopata (i.e % shs 300/=). Sasa, logically, tofauti iko wapi, zaidi ya matumizi neno 'riba'? Mmoja anasema riba, mwingine anasema tugawane faida.
The devil is in the details!
Mwanafunzi umeelewa somo, ila unataka kupanga ubishi !
Margin itabakiwa hivyo na Interest hivyo hivyo, ikichelesha inaongezeka, ukipata hasara imekula kwako.
- hivi islamic banking yenu ilifikia wapi? au sote tumekubali kuwa wala kharam? unaeza kunipa takwimu zozote za wasilamu wanaotumia islamic banking, if it exists at all?
- halafu kwanini iwe vita na allah + mohamed na sio allah+younus au allah+daoud, kuna nini hapa kwa mohamed? hebu tujuze
- mie mpemba na nilishatangaza vita na mola wenu na mtume wenu na hadi leo nadunda tu
- karibu tuimalizie weekend leo, mvinyo + kitimoto on me.
We ndo maana nikasema sasa unapanga ubishi, Business margin (Profit) itakuwaje sawa na Interest rate !?Kwa hiyo unakubali technically riba ipo pote ila 'wording'. Interest rate inabakia the same kwa sababu muda wa kurudisha huwa sio mrefu sana.
We ndo maana nikasema sasa unapanga ubishi, Business margin (Profit) itakuwaje sawa na Interest rate !?
Mwanamke na Mwanamme wote ni binaadam lakini mmoja anazaa na mwingend hana uwezo huo ! Sasa kwa nini unang'ang'ania kupotosha matumizi ya hivyo viwili ? Interest rate ina charge kwa muda (time factor) na katika aina hiyo hakuna kushare hasara, prepaid na post paid yote ni matendo ya kulipa lakini yanatofauti kubwa ! Angalia usije ukafeli bana, oohoo ! Unteiya mosie !