Mke wangu wa NDOA ananilazimisha nitoke nje ya Ndoa

zungumza na mkeo, tena mwambie akuambie asipokupa haki yako anatarajia ukapewe na nani...... Anzia hapo....
 
Pole ndugu,kwanza kama kweli unaisimamia nyumba kama MWANAUME ni lazima mkeo aseme tatizo ni nini,usikubali usimamizi wako ukayumbishwa na kisirani cha mkeo.Ni lazima awe wazi kuzungumza nini tatizo,kama hataki ni bora kila mmoja akachukua hamsinh zake sio lazima kuishi nae.Kukataa kuzungumza kinachomsibu ni ishara ya kukataa kutatua tatizo,na hiyo inamaana ndoa imemchosha na haitaki.Halafu unajua hawa wenzetu wameumbwa tofauti sana ukimkubalia kila kitu anachokuambia hata kama mema anakuona dhaifu,huenda nalo ni tatizo!
 
hivi huu upuuzi wa watu kunyimana haki za ndoa unatusaidia nini jamani?mwanamke au mwanaume unapomnyima mwenzio sakramenti nia yako akale polisi?ni kitu gani cha kutisha kinaweza kutokea kwa watu mloishi miaka karibu kumi sijui kitokee kati yenu kiasi mshindwe kuzungumza,mwanamke.mwanaume anayekimbilia kutumia maumbile yake kama silaha ya kumkomoa mwezie hajui maana ya ndoa!kama mwenzio amekuudhi si mnazungumza?tell her/him wapi kuna tatizo,mwambie anafanya kitu gani ambacho kinakukwaza!haya mambo ya kuanza kupelekana kwa wazazi eti unakataa kulisha mume ni mamabo ya aibu jamani!
kaka angu hebu kaa chini na mkeo muulize ana shida gani!pengine mazingira mliyopo hayampia nafasi ya kujiachia sio wote watoto wa njiwa kama wengine hapa hata juu ya jiwe tunapiga mzigo mradi kitu kimeitika tu na tupo na tuwapendao,
ANDAA SAFARI ikiwezekana iwe nje ya mkoa!mtayarishie vijiguo sexy ana we jiandalie hivo hivo mwambie mke wangu tubadilishe viwanja !huko hebu jaribuni kusahau na uanze yale malovee ya enzi zile kwa kuanzia,then tuone nini kitajiri!

juu ya jiwe?
 
Huyo anajitengenezea mapito ili akale tunda na Kidumu....jiangalie tena na umwangalie na yy...kama hajatimia na hana viungo sawa....ila kama ulioa dat means ulipenda yte alonayo...hyo haijakaa sawa bado..
 
Muulize kama uwa anaota anakutana kimwili na mtu usiku. Kama jibu lake ni ndiyo atakuwa ana jini Mahaba mpeleke kwa wachungaji wanaokemea mapepo akaombewe likitoka hilo ndoa yako itakuwa imepona. Kama wewe ni mwangaliaji wa Emmanuel Tv unaweza kujifunza mambo yanayosababisha matatizo ya ndoa. Chanzo kikubwa uwa ni jini mahaba.
 
kweli kwenye ndoa kuna mambo mengi sana kunauwezekano labda anatumia njia za kufunga uzazi huwa zinatabia ya kuleta maudhi, kama sihivyo basi jitahidi mkuu kuongea naye kaeni myazungumze na umpe live kuwa anategemea wewe utafanyaje kama yeye kama mweza hata kukutana n awewe.
 
hilo jambo lina sababu...
jaribu kutafuta muda na sehemu tulivu umuulize kinagaubaga, ikishindika ita wazee watayamaliza!!
hilo la kutafuta nyumba ndogo si suluhu labda kama unatafuta tatizo lingine
 
Nafikiri mazungumzo baina yenu ndiyo yanaweza kukupa fursa ya kutambua tatizo liko wapi. Kama walivyoshauri baadhi ya wadau u need to find condusive enviroment kwa ajili ya mazungumzo haya. MATATIZO YA NDOA YANAWEZA KUTATULIWA NA WANANDOA WENYEWE.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jipe muda, niliwahi kuwa na mmoja alikuwa anataka daily, nikampa kila siku, miezi kadhaa baadae akawa anadai kwa wiki nilchunguza lkn ckumkuta na mtu, mpe muda kabla hujatoka nje
 
Pole kaka huo mtihani mkubwa fanya uchunguzi. Kosa ulilofanya mwano ni kuacha vitu unavyovipenda kwa ajili yake ilitakiwa uvibalance
 
Pole ndugu,kwanza kama kweli unaisimamia nyumba kama MWANAUME ni lazima mkeo aseme tatizo ni nini,usikubali usimamizi wako ukayumbishwa na kisirani cha mkeo.Ni lazima awe wazi kuzungumza nini tatizo,kama hataki ni bora kila mmoja akachukua hamsinh zake sio lazima kuishi nae.Kukataa kuzungumza kinachomsibu ni ishara ya kukataa kutatua tatizo,na hiyo inamaana ndoa imemchosha na haitaki.Halafu unajua hawa wenzetu wameumbwa tofauti sana ukimkubalia kila kitu anachokuambia hata kama mema anakuona dhaifu,huenda nalo ni tatizo!

He?umeoa?kwa staili hii ndoa zitavunjwa kila assubuhi we mwomba ushauri akili zako +.....
 
1. Hamuongei
2. Hubembelezi,masikio yake hayasikii utamu
3. Mwanamke anataka sometimes umusurutishe, ni moja ya raha zake hizo,
4. Sometimes anasema no kujua kama kweli unataka au ni mwoga tuu, umesha kula nje huko unataka kumalzia, kama kweli unataka akisema no, basi ujue umesha pata.
 
hivi huu upuuzi wa watu kunyimana haki za ndoa unatusaidia nini jamani?mwanamke au mwanaume unapomnyima mwenzio sakramenti nia yako akale polisi?ni kitu gani cha kutisha kinaweza kutokea kwa watu mloishi miaka karibu kumi sijui kitokee kati yenu kiasi mshindwe kuzungumza,mwanamke.mwanaume anayekimbilia kutumia maumbile yake kama silaha ya kumkomoa mwezie hajui maana ya ndoa!kama mwenzio amekuudhi si mnazungumza?tell her/him wapi kuna tatizo,mwambie anafanya kitu gani ambacho kinakukwaza!haya mambo ya kuanza kupelekana kwa wazazi eti unakataa kulisha mume ni mamabo ya aibu jamani! kaka angu hebu kaa chini na mkeo muulize ana shida gani!pengine mazingira mliyopo hayampia nafasi ya kujiachia sio wote watoto wa njiwa kama wengine hapa hata juu ya jiwe tunapiga mzigo mradi kitu kimeitika tu na tupo na tuwapendao, ANDAA SAFARI ikiwezekana iwe nje ya mkoa!mtayarishie vijiguo sexy ana we jiandalie hivo hivo mwambie mke wangu tubadilishe viwanja !huko hebu jaribuni kusahau na uanze yale malovee ya enzi zile kwa kuanzia,then tuone nini kitajiri!
Umempa ushauri mzuri lakini kwa upande wangu nahisi jamaa anamegewa na kidume kingine pembeni. Mwezi mmoja bila ya kuchana marinda halafu wanandoa?, hapo lazima kuna kitu kinaendelea........
 
anaweza akawa mjamzito pia, mimba zina vichaa vyake nazo..........
Hivi ni shetani gani ameingilia hizi ndoa siku hizi?Mkuu mwezi mzima anakupa visingizio???Chunguza lazima kuna mtu mnasaidiana
 
kosa ni kumkubalia kila kitu mwanaume wa kiafrika lazima uwe na msimamo na sauti tafuta nyumba ndogo na akikisha anajua kuwa una nyumba ndogo au achana kushinda naye nyumbani ukitoka kazini jichanganye na washikaji atakapoona mabadiliko atajua kuwa mme wangu ana mtu nikichedza naondoka mwenyewe atabadilika
 
Back
Top Bottom