MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

wewe ndio umemfanya ajisikie malaika......mwambie kwamba hupendi hiyo tabia yake, asipobadirika na wewe mringie mnyime fimbo ....yako uone


aisee usifanye hili kosa milele aisee unajua katika watu wanaochagua fimbo waakati wowote ni wa jinsia hii hapa nakwambia pengine hizo zote anataka kubadilisha fimbo ajimilikishe kihalali anaona aaibu atamwachaje jamaa weeeeeeee weeeeeeeeeeeeeeeee usimwingize jamaa choocha kike ashaingia kakuta toilet pepa aipo sasa badala ya kumtafutia maji unamfungia mlango aisee kazi ipo
 
mambo ya ajabu sana haya mara kuliko mungu,kwanini ukusema kuliko Einstein unamta Mungu hovyoo
pili swala la elimu,kwani nani alikushauri kuoa mke wa chuo wakati elimu yako ndogo...
Umeniudhi sana kwenye ishu ya WAHAYA...hovyoooooooooooooo!!!
 
mkeo ni laana ya bibi zake ndo inamsumbua.elimu na heshima n njia mmoja asituharibie ce...
 
Mwanamke yeyote msomi anastaili yake ya kuishi nae, sasa ikiwa wewe si msomi na unataka afuate taratibu zako ambazo dhahiri zipo chini ya elimu yake, hakika atakudharau tena sana,
Ni vema ukakutana na wataalamu wa maswala ya saikolojia ya mapenzi wakuweke sawa ili uendane na usomi wa mkeo, ni vigumu kumrekebisha yeye ila ni rahisi kurekebishwa wewe! Nadhani hapo umenipata, ni vigumu mwerevu kuwa mjini kuliko mjinga kuwa mwerevu!

Kwa mujibu wa maelezo yako tatizo naliona kwako, ili uishi na mwanamke salama hasa msomi kama huyo yakupasa mume ujitune kama umepitia mafunzo ya CIA yani uwe na akili ya ziada usitegemee akili ya kuzaliwa! Ni pm kwa msaada zaidi!


ndo maana tunasikitika sana watoto wetu wanapofeli masomo, hizi ndoa watazimudu kweli?

Halafu na sisi tunapenda kubadilisha watu kwa kujiona tunayoyaamini, kuyasimamia na kuyaishi ndio sahihi kuliko ya wengine. Huu ni mtizamo mbaya na unachangia sana kuvunja ndoa. Mfano, Mleta mada amesema mke 'ananidharau na ndugu zangu', huyo mke ni wako au wa ndugu zako, una uhakika gani kama hawaheshimu nduguzo au ni nduguzo waianza kutomheshimu mkeo?
 
kweli unahitaji ushauri?umekiri kwenye heading kua mkeo anamzidi muumba so 2takupa ushauri gan?plz jarib kumheshim Mungu hafananishwi na k2 chochote.
 
huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
Ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa kihaya?

huyo si mke ni mkegani. Hukusikia ya wazazi sasa damu yakutoka masikioni karume kenge!
 
Pole bana, huo ni ushamba unamwelemea! anaamini yeye ndo msomi kuliko wote, na mwenye ufahamu zaidi ya ufahamu wenyewe, pole bana ndo tabia zao(Nshomile) lakini.

sio nshomile wote wengine hatuko hivo bana,yawezekana chanzo ni yeye mwenyewe,
 
Wako tu kama vp piga taraka tatu fasta, wanawake kibao hata dada yangu njoo nikupe hana tabu.
 
Mhmm!! Hapo kaka sina cha kukushauri maana umeshalikoroga mwenyewe kwa kuoa mke bila ya kufanya uchunguzi wa kutosha. Kitu ninachokushauri ni kuvumilia tu maana maji ukishayavulia nguo huna budi kuyaoga.
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
Heading yako vp?
Nilishituka ulivyosema kamshinda hata mungu!
 
mambo ya ajabu sana haya mara kuliko mungu,kwanini ukusema kuliko Einstein unamta Mungu hovyoo
pili swala la elimu,kwani nani alikushauri kuoa mke wa chuo wakati elimu yako ndogo...
Umeniudhi sana kwenye ishu ya WAHAYA...hovyoooooooooooooo!!!

tehe tehe tehe,wakorawaitu huyoooooo
 
Back
Top Bottom