MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,987
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
 
mwombe Mungu atakusaidia kumweka ktk hali ya kibinadamu.
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. mvumilie mrekebishe taratibu.
hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya
 
kama ni mjamzito hapo sawa ila kama siyo mkuu angalia asije akawa bembea kwa nje
 
kwanza, wewe elimu yako ni ipi?

Nipe mantiki ya kuhusisha elimu yake na kabila lake?

Baba yake hajamuheshimu nini?

Huo ujuaji unaouzungumzia ni upi?

Halafu unacheza wewe, Mungu kaingiaje kwenye heading? Ulishasikia neno 'blasphemy?'
 
kwa nini umekonkudi mke ana matatizo ya malezi?

Ulishakumbana na mwanamme mwenye low self esteem?

Atujuze kwanza elimu yake na umri ndo tutaweza toa ushauri

angalau na ujuaji wake ukoje ili tupate picha kamili.

huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. mvumilie mrekebishe taratibu.
hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya
 
Pole bana, huo ni ushamba unamwelemea! anaamini yeye ndo msomi kuliko wote, na mwenye ufahamu zaidi ya ufahamu wenyewe, pole bana ndo tabia zao(Nshomile) lakini.
 
kama unataka tukusaidie acha kuuza chai siyo na sukari
jibu maswali yangu hapo juu tuone tunaweza shauri nini

kumponda hapa haitakusaidia sababu ni mkeo unless kama unataka tu to feed your ego as a man.

kila kukicha anazidi kujiona yeye ni malaika
 
she holds masters degree in agricultural engineering and she is 32 yrs
kwa nini umekonkudi mke ana matatizo ya malezi?

Ulishakumbana na mwanamme mwenye low self esteem?

Atujuze kwanza elimu yake na umri ndo tutaweza toa ushauri

angalau na ujuaji wake ukoje ili tupate picha kamili.
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Aliyekwambia ukaoe huko nani?

Watani zangu wana taahira ya kula senene na ndizi changa.

Mlete kwangu wiki ijayo niende naye Tarime akafunzwe adabu akirudi huko utampenda
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Ili tukusaidie bora ondowa hilo neno la mwisho kwenye kichwa cha habari kwani huko ni beyond binaadamu, hivyo hatutaweza kumshinda mawazo huyo mkeo!
 
Back
Top Bottom