MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

tatizo unalo mwenyewe.. Umeoa mwanamke aliyekuzidi akili na upeo ndo maana kuna mambo yeye anawahi kuyaona kabla yako akikushauri we unamaind unaona anataka kukupanda kichwani..pole bana!
 
hata maendeleo kwenu yatawapitia mbali, maana mara nyingi much know hawafiki kokote sababu ya ubishi na kujua sana. lakini huo uhaya si uliujua kbla hujamuoa au?
 
Kuwa na stahaa ya maneno wewe, mke wako ucmfananishe na mungu hata kwa chembe, ni takataka kwa mungu hata angesoma madarasa yote , nahisi na wewe ni mwehu
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Tupe update Lameck,kashajirekebisha?
 
ulikurupuka kuoa...jipange labda in next life utajifunza
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

hao ndo wahaya bwana,utasikia ninkimanya ekyo,oo mara ntulima tuti tushuba twekondeka. . .mpaka wanaboa.
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Rudisha kwao kabisa wala usiahidi kurudia tena maana wengi wakiwa kwenye ndoa huwa wanafikiri ambao hawajaolewa walimkosea sana Mungu..Piga chini aone ilivyo ngumu kumpata mwanaume
 
Huyo sio kwamba ni tabia za kihaya wala shule sema ni mshenzi na limbukeni ingekuwa sababu ni kabila angewaheshimu hata wazazi wake.
Ni limbukeni wa elimu itakuwa kapata uelewa ukubwani, pia jaribu kuuliza chuo alikuwaje itakuwa alikuwa anaficha makucha, pole sana.
 
Piga chini window, install upya!Ucfanye kosa tena, muheshm Mungu mwombe akpatie mke mwema alokwandalia na c huyo wa shetan arudi uhayani kwao akafunzwe, AKIKUA ATAACHA
 
umeona ee! asante sana mkuu kwa hekima zako..jamaa haeleweki huyu!afunguke zaidi inawezekana yeye ndiye tatizo..
kwanza, wewe elimu yako ni ipi?

Nipe mantiki ya kuhusisha elimu yake na kabila lake?

Baba yake hajamuheshimu nini?

Huo ujuaji unaouzungumzia ni upi?

Halafu unacheza wewe, Mungu kaingiaje kwenye heading? Ulishasikia neno 'blasphemy?'
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Afadhali hata huyo wako. Wangu alikuwa anamlazimisha baba mwenye nyumba wetu eti akawapime watoto DNA, kisa.... Eti mama mwenyenyumba akienda night shift anamegwa na madaktari. Mama mwenye nyumba wetu ni nesi
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Hiyo ni jeuri ya digree ya chupi, tabia yake ni ujeuri na ubabe wa kipuuzi... PIGA CHINIII..
 
Shomile mpaka form 6 but no course

Epusha msongamano, muache na ujeuri wake, tafuta small house, atanyooka tu
 
Back
Top Bottom