Confundido
Member
- Mar 17, 2021
- 27
- 112
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.
Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake (alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja.
Hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande wa massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.
Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha, sijui nifanyaje?
Bado hajajua kama na fahamu lolote.