MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Tafadhali rekebisha title ya mada yako

Mke wako hawezi kuwa mjuzi kuliko Mungu, je naye ameweza kuumba hata sisimizi wa jinsi yake akaishi?

sema ana kiburi na dharau

mm nadhani inategemea na malezi na msingi mlioujenga katika mahusiano yenu tangu awali

jenga mazingira,. muulize kwa utaratibu akiwa amefurahi hapo anaweza kukueleza chanzo cha tatizo
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Kaka ulichemka, mimi ni wa uko uko na naishi uyo Mke ni wa Mleba! Maana wanawake kutoka Muleba maeneo ya Nshaba, iyangiro, kamachumu ni hatari, sawa sawa na kuoa mmachame! Mfano mzuri ni kaka yangu ameoa mwanamke wa kihaya toka kamachumu, alikuwa mwalimu na sasa amejiendeleza na kusomea uhasibu then sasa anasomea Mastaz, Imekuwa ishu, hata wazazi wake aliwafukuza, Mkwe wake ndo anamtesa kama hana akili nzuri, wadogo zake wote ametimua, hakuna mgeni yoyote anaeenda pale. Cha kushangaza ameacha kazi yake ya ualimu baada ya kuwatukana waalimu wenzie kuwa hawezi kufundisha na masikini! Hata kwenye harusi yake alikataa kuwakaribisha walimu wenzie eti wao ni maskini na ameolewa na kaka yetu tajiri! Kaka umebugi kama si kuingia choo cha kike! Kwa taarifa yako hata mimi sijaoa uko ingawa nimeoa.

Pole sana
 
Huyo deal with her kwa style za kijeshi, aakizingua tandika bakora kwa kwenda mbele, siku hiyohiyo unayomtandika bakora hakikisha unapiga K ile mbaya. Ikiwezekena piga mpaka Tigo....wiki mbili tu atanyoooka mwenyewe.
 
Pole sana kakangu ila umenikwaza kidogo kwa kuhusisha vituko vya mkeo na elimu na kabila lake. Mimi nimesoma sana tu na heshima kwa mume wangu iko pale pale. Pia tutakua bias kama tutakusupport wewe kwa malalamiko yako bila kujua upande wa pili unasemaje yawezekana wewe ndo una tatizo sasa nae kama binadamu lazima akuonyeshe kuwa ana akili za kukufahamisha.
Katika ndoa kuna makwazo lakini kama mlipitia mafundisho nadhani hukutakiwa kuleta haya hapa yakupasa ukae na mkeo kwa upole umuulize kulikoni kama wewe u msafi kumbuka "whoever goes for justice must go with clean hands"
Tatizo wanaume wa siku hizi mnadhani kina dada tuliosoma tuna matatizo kuliko wa zamani si hivo wale wa zamani wengi wao walikuwa hawajaenda shule so hata anapoonewa anaona sawa tu but these days my friend we can stand and argue na tufanyapo ivo mnadhani tuna viburi si kweli hapo ndo inapotakiwa kueleweka tofauti ya aliyesoma na asiyesoma.

Na mlio wengi mnakuwa na kujistukia hasa mkeo akikuzidi kamshahara kidogo tu yaani atachosema unafikiri kuwa kwa vile anakuzidi mshahara but nikwambie tu mpende mkeo kwa dhati utaona matunda yake. My hubby is always happy with me na hata haimsumbui kuwa nimesoma zaidi ananisisitiza kwenda PHD upo hapo?
Kama unaona humuwezi achia ngazi tafuta wa la saba atatii masharti yote utakayo. Kama ni tabia mbaya kila kabila lina tabia mbaya tu na nzuri pia
so avoid FALSE GENERALIZATION (CJUI KAMA UMEELEWA HILI) KUWA WANAUME WAKURYA WANAPIGA WAKE ZAO SI KWELI KUNA WACHAGA WANAOPIGA PIA.
NAKUTAKIA KILA LAKHERI KUTATUA HILO TATIZO LAKO ( THINK BIG)

Wahay

Ka
 
Kuna jamaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mkorofi, basi dawa yake ni kumpa ujauzito kila baada ya interval fupi fupi ! Ha ha haaa!

mkuu naona signature yako ina first eleven ya chipolopolo!hongera sana kwa performance ya CAN.hata mimi nimefurahi sana il sasa fainali kwakweeli ndo inabidi niwe mkweli kwa nafsi yangu!!
 
unatuhaibisha wanaume wewe! Jitambue tia makofi atarud tu akigoma na hapo ujue anatafuta talaka.!
 
mi nahisi huyu kaka ndo ana tatizo
kwanza angalia heading, Mungu kaingiaje
pili kumnanga mkeo hapa lazima uwe kiazi
tatu mastaz ya mke wake inamnyima usingizi

inferiority iko mahali pake
 
Kuna watu wameumbiwa wapenzi wa la saba. Wakipata wa masters wanadhani wanadharauiwa au kuonewa. Sasa wale wanaoishi na maprofesa wa maprofesa waseme vp? Elimu ni vizuri iboreshe maisha na isionekane kama kikwazo katika maisha
 
kanyaro kanamsumbuwa,
na wa hivo wengi wao huko chuo walikuwa wachakachuwaji. na halmashauri yake ya kichwa itakuwa ilishavunjika kitambo limebaki bufuru tupu.
pole una shida ya dunia mana nyumbani unatakiwa upate raha sio karaha.
 
Huyo ni muasi na namfananisha na Lusifeli, hawezi kumzidi Mungu ila hata Mungu hamuelewi. au ndugu zako ni wengi hadi wamekaba chumba cha faragha, maana ndicho alichohamia kwako, yeye hakutakiwa kuwa yaya, mpe ananchotaka, mtoto kila mwaka mpaka aombe kupumzika:A S 465::A S 465::hat::hat:
 
Pole ndugu yangu,ila kichwa cha habari mbona havioni na message?Anyway tuyaache hayo.Ndugu yangu mimi pia nilioa dada wa Kihaya kutoka SUA,nili-face the same problems,mwishowe ilibidi nibwage manyanga.Sikutaka kufa kwa pressure.Halafu akaongeza katatizo kengine-ufuska,aaa,sikuweza kuvumilia.
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
 
huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. Mvumilie mrekebishe taratibu.
Hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya

wengine awarekebishiki hata uwasomeshe shule za st...naniiinooo
 
Kumbe na mimi nilibugi stepuuu,lakini nimebwaga manyanga.Ila nimepoteza muda wangu mwingi.

Back
Top Bottom