Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu

huwa chakula cha jioni mnakula saa ngapi? Inashauriwa isizidi saa tatu at least mtu uwe na saa nzima au zaidi ya kupumzika baada ya kula. . .halafu mshauri awe anakunywa maji ya uvuguvugu yanaondoa hewa tumboni
 
Tatizo lisije kuwa la kwako mwenyewe maana vijana wa siku hizi kupenda kupiga mbizi nchi kavu...
 
Unamdhalilisha mkeo humu jamvini, acha hizo kaka haipendezi.

Mbona uelewa wako mdogo? Anamzalilishaje na fake ID? Au amekutajia jina la mkewe au hata wanapoishi? Mtatufanya ushauri mdogo kama huu tuanze kuomba ED ofisini tukapange foleni mwananyamala siku nzima tunasubiri daktari akwambie badilisha ratiba ya vyakula na fanya mazoezi. Nyie mnafikiri JF ni kwa nini hapa? Tafakari chukua hatua
 
Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu

.......... ni mkeo kweli .... mbona unamdhalilisha mkeo... ila inaelekea sio kweli usemayo.. kama wewe unakojoa kitandani kwa bahati mbaya yeye naye aje kutoa humu?
 
ww ndo una ugonjwa wa kutopata usingizi, kamuone doctor. Inawezekana ukiwa usingizini huwa unaota kwamba mkeo amejamba halafu unashtuka. Ni kitu kiko kwenye akili yako kinakutafuna. INSOMNIA
 
Hivi maana ya mke ni nini? Manake kuna mtu kimada ama hawara anaita mke.
Hama huko kwa mtogole, nyumba haina madirisha wala cross ventilation hiyo!
 
Snochet huyo anakunywaga supu ya maharage na lazima exhaust pipe imetobolewa ndio mana mungurumo unakuwa mkuubwa.
 
wewe hujambi?
tatizo tu kama matatizo mengine mbona?
Mmmmhhh hata kama ila hii ya kumsababishia mwenzie kukosa hata usingizi, japokuwa hajaweka wazi kukosa usingizi kunatokana na hali ya hewa yaani harufu au sauti za hiyo kitu, ila ngoja tusubiri wataalamu tuone wanasemaje
 
Aiseeee nimetoka huko juu kwa shehe ponda, nimenunaaaa, nimekuja hapa, mmenipa tabasamu, nawashukuru wote mliocoment hasa mtoa mada, i luv jamii forums!
 
Wazee walisema ukitaka kujua upendo wa mme/mke usiku wakati mmelala wewe jamba ukiona anafunua blanket ujue hakupendi. Inamaana wewe humpendi mkeo
 
No no mambo mengine ni udhalilishaji. Si kila kitu ni cha kuleta jamvini tena kwa mzaha namna hii.
Elli afadhali umeliona
Kuna mambo yanatia wasi wasi kuwa hawa watu kweli ni mke na mume ambao wanalala kitanda kimoja na wana muda wa kukaa pamoja na kuongea na kushauriana masuala yao ya ndani au ni mahawara tuu wamekutana
Maana kama ni mkeo kwa nini msikae pamoja mkaongea na mkalitafutia ufumbuzi swala lenu haswa kwa kwenda hata kuwaona wataalam pamoja mkapata ushauri kabla ya kuja kumuanika mkeo eti anatoa sauti kama subaru
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee nimetoka huko juu kwa shehe ponda, nimenunaaaa, nimekuja hapa, mmenipa tabasamu, nawashukuru wote mliocoment hasa mtoa mada, i luv jamii forums!
cacico hujambo bibiye
mzima wewe
Nimekumissije aise
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom