Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Elli afadhali umeliona
Kuna mambo yanatia wasi wasi kuwa hawa watu kweli ni mke na mume ambao wanalala kitanda kimoja na wana muda wa kukaa pamoja na kuongea na kushauriana masuala yao ya ndani au ni mahawara tuu wamekutana
Maana kama ni mkeo kwa nini msikae pamoja mkaongea na mkalitafutia ufumbuzi swala lenu haswa kwa kwenda hata kuwaona wataalam pamoja mkapata ushauri kabla ya kuja kumuanika mkeo eti anatoa sauti kama subaru

@Mr. Rocky huku watafuta nini hebu nambie.........................Mimi hata nikifanyaje si hauwezi nileta hapa jamvini ukweli uongo Huby???????????
 
Mr. Rocky huku watafuta nini hebu nambie.........................Mimi hata nikifanyaje si hauwezi nileta hapa jamvini ukweli uongo Huby???????????

my wife Dena Amsi hata ufanyeje aise siwezi kuja huku
Kuna kile chumba chetu tutaongea na kujadilian ana kubishana mpaka tufikie mwafaka na kama ni kwa doc tuende wote tusikie doc anasema nini
 
Last edited by a moderator:
ndugu,Kunyampiana ndo nini tena?
Pole kaka...
Ni hali ya kawaida sana hyo..
Vile na wewe unanyampaga ila hujui kwa kuwa umelala..!!
Bro wangu alinambia wanandoa wananyampiana sana..
Sio tigo,sio nini..
Kawaida tu kama kawaida zingine muhimu kubadili chakula..
 
aahh mie mzima sana, namshukuru anipaye pumzi kila uchao! Mi too miss u loads! Cku hizi nashindaga huko juu, kujua nchi yetu ina-head to which direction, lol!


huko kwenye jukwaa la stress wanaliweza akina zomba na Ritz wengine tukiingia mle ban itatuhusu mara moja
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kufuatilia aina ya mapochopocho anayobugia pia inawezekana anashiba sana, mpunguze bajeti ya msosi.
 
Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu

Mume wangu snochet ni muongo. Yeye ndie anayejamba usiku nashangaa anakuja hapa kuomba ushauri.
Nyie acheni utani jamani...! Hivi mnafikiri mmoja akimwaga ugali na mwingine mboga wote si mtalala njaa tu? Basi kwa vyovyote vile mwenye tatizo hilo basi kakumbwa na balaa husika....!
 
Mbandike Plasta kwenye kitundu pale wakati wa kulala kupunguza mlio ili ulale vizuri maana usipoangalia utafukuzwa kazi kwa kusinzia ovyo ofisini.
 
Hivi maana ya mke ni nini? Manake kuna mtu kimada ama hawara anaita mke.
Hama huko kwa mtogole, nyumba haina madirisha wala cross ventilation hiyo!

Hahaha sasa kimada cha kwa mtogole umekipangia chumba na kila jioni unapitia kuacha kodi meza baada ya kupunguza uchovu huwezi kiita wife? hiki kimada kutokana na huduma kinavyo toa
 
uwiiiiiiiiii we kaka mbavu zaniuma mwenzio, khaaaaaaaa, u have completed my evening! Yaani nimechokaaaaaaaaaaaaaa, kuchekaaaaaaaa! Kha!

Shushia na kiloba original hicho kicheko ili usiku ujambe vizuri
 
Kujamba kawaida kwan anatamb ucku 2 na kama uck 2jarb kufuatilia chakula gan anakula wakat wa mchan wakat ww haupo au tigo zaid ya hapo nenda hospital inawezekana ukawa ongonjwa
 
Kweli huyo sababu ya tigo misuri imelegea hawezi hata kujibana umesema eti cha tigo ni kile cha "yusufu" huo ni uongo sababu kama misuli yako inaweza kubana ndio kinatoka cha yusufu ila kwa sababu hawezi tena kubana ni anajamba kama anabanja pole fanya pampers itampunguzia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona umemshauri sasa????!!!!!

Kwa sababu nimemhurumia, nimemdharau lkn pia nimeshindwa kumwelewa ni mtu wa aina gani kifikra mpaka kuamua kuleta uzi wa dizaini hii! Imenibidi nimshauri tu make yawezekana ni tatizo kwake!

Pia anaweza akaoa mwanamke mwingine asiyejamba!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unaendeleaje Don?

huwa chakula cha jioni mnakula saa ngapi? Inashauriwa isizidi saa tatu at least mtu uwe na saa nzima au zaidi ya kupumzika baada ya kula. . .halafu mshauri awe anakunywa maji ya uvuguvugu yanaondoa hewa tumboni
 
lishe imezidi,
kuna watu wanakula kama wanahama,
mwisho ni kupumua pumua ovyo. mpe formula ya diet uone kama ataachia tena.
umeona mama kuna wanawake wanakula utadhani ugomvi kumbe anaenda tu kulala
matokeo yake ndo hayo kumpigia mumewe vuvuzela usiku kucha
wacha watu wawe na nyumba ndogo sasa!
 
tafuta kitu kilaini chenye mzingo wa inchi 1.5 na urefu wa inchi 6 umwekee kila wakati wa kulala na uhakikishe hakichomoi mpka mornie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom