Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,219
2,824
Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa)

Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani kila nikienda nawaambia kabisa kwamba huyu dawa ametumia sana lakini bado kwahiyo angalieni namna nyingine ya kumtibu lakini wapi!

Swali la nyongeza hivi hii habari ya kinyama kwenye koo maarufu kama (kimea/kimeo) ipoje wataalamu wa tiba maana wengi wananishauri niende akakatwe hicho kitu lakini moyo wangu unakataa kabisa
 
Ni kweli huwa hicho kidude kinazingua. Mtoto wa mdogo wangu alipata hiyo case ila hakukata kuna dawa alitumia ametulia mpaka leo.

Kukakata inasaidia, ila pia ina risk zake.
 
Kesi za watoto inabidi ukutane na specialist wa watoto.
 
Pole Sana

Ngoja wataalamu waje Ila pia unaweza kuwatag ma DR ili wauone Uzi wako kwa haraka.
 
Kesi za watoto inabidi ukutane na specialist wa watoto.

Hapa wapo Ma DR ambao ndo hao specialist hivyo muongozo atakopewa hapa utamsaidia kupunguza gharama za consultant pale hosptalini na mwisho tatizo lake litapata mwanga
 
Ni kweli huwa hicho kidude kinazingua. Mtoto wa mdogo wangu alipata hiyo case ila hakukata kuna dawa alitumia ametulia mpaka leo.

Kukakata inasaidia, ila pia ina risk zake.
Hiyo dawa aliyotumia ni siri mkuu? Ungeweka humu maana tatizo hili limekuwa sugu kwa watoto wengi.
 
Kwanza mtoto ana umri gani?
Ana Homa?
Hali hiyo imeanza kumtokea Lini?
Ametibiwa na Dawa gani?
Akiwa anakohoa ni kipindi anakula au akiwa ametulia au akiwa amelala?

CC: Trainee
Mkuu yupo mtoto mwingine wa miezi miwili anatapika kila akinyonya na kikohozi kikavu kisichoisha.

Jana tu ameenda hospitali daktari akashauri apimwe malaria na mambo mengine lakini hakukutwa na shida yoyote.

Alimuandikia tu dawa za kuzuia kutapika lakini bado anatapika.

Kuna watu wanasema huenda kimeo ndiyo tatizo maana kwa dalili hizi huemda amasumbuliwa na kimeo na lazima kikatwe ili kuondoa hali hiyo.

Hali hii imeanza kumtokea siku nne zilizopita. Pia aliandikiwa akanunue Pen V awe anasagiwa anapewa kwa kuchanganya na maji ya uvuguvugu lakini bado haijasaidia.
 
Asante,
Umri ni miaka 3,
Hana homa wala haoneshi dalili ya kuumwa mfano kulia (tena anacheka kabisa akiwa anakohoa)
Dawa ametumia sana ni couph syrup mara nyingi amepewa imeandikwa totolyn. Amoxicillin pia nakumbuka katumia .Nimeandika "dawa zote" kumaanisha kila nilipoenda nimepewa dawa
Anakohoa sana muda amelala usiku, mchana anakohoa ila siyo kwa kuchanganyia na hata ikichanganya hatapiki
Kwanza mtoto ana umri gani?
Ana Homa?
Hali hiyo imeanza kumtokea Lini?
Ametibiwa na Dawa gani?
Akiwa anakohoa ni kipindi anakula au akiwa ametulia au akiwa amelala?

CC: Trainee
 
Mkuu yupo mtoto mwingine wa miezi miwili anatapika kila akinyonya na kikohozi kikavu kisichoisha.

Jana tu ameenda hospitali daktari akashauri apimwe malaria na mambo mengine lakini hakukutwa na shida yoyote.

Alimuandikia tu dawa za kuzuia kutapika lakini bado anatapika.

Kuna watu wanasema huenda kimeo ndiyo tatizo maana kwa dalili hizi huemda amasumbuliwa na kimeo na lazima kikatwe ili kuondoa hali hiyo.

Hali hii imeanza kumtokea siku nne zilizopita. Pia aliandikiwa akanunue Pen V awe anasagiwa anapewa kwa kuchanganya na maji ya uvuguvugu lakini bado haijasaidia.
Kwanini umefikiria Kimeo..
Daktari alipaswa kumpima Vipimo vingine kama FBP (Full blood Picture) ama Complete Blood Count (CBC)...

Sometimes mtoto anaweza kusumbuliwa na Allergy au Asthma na Pia anaweza kuwa na TB kama atakuw contact na mtu mwenge TB..
Vipimo vingi sahihi kwa mtoto vilihitajika..

Lakini mara nyingi mtoto wa 0 mpaka 12 months kikohozi chake ni Viral..
Na wengine wanapata Whoop cough (pertussis)
Kwahyo examination na Vipimo zaidi kwa mtoto vilihitajika..

By the way Ukataji wa Kimeo sio.Sahihi na inaweza kuhatarisha Afya ya mtoto
 
Asante,
Umri ni miaka 3,
Hana homa wala haoneshi dalili ya kuumwa mfano kulia (tena anacheka kabisa akiwa anakohoa)
Dawa ametumia ni couph syrup mara nyingi amepewa imeandikwa totolyn
Anakohoa sana muda amelala usiku, mchana anakohoa ila siyo kwa kuchanganyia na hata ikichanganya hatapiki
Shukrani kwa majibu mazuri!
Sasa kwa hali hiyo ya Mtoto..
Ningekuomba kwenda kupima FBP...
Huenda mtoto anatatizo la Pumu au Allergy..

Ni vizuri kwanza ukagundua mtoto anakohoa sana Wakati gani au ukimpa nini..

Pili Muco-Asthalin (salbutamol na Bromhexine) inasaidia sana kwa Mtoto mwenye shida kama yako..
Plus Loratadine plus Corticosteroid yoyote (Mfano Predinisolone ni nzuri sana)
Na antibiotics Ya chini kabisa tumia Amoxiciline DT ..

So MucoAsthalini plus Predi plus lora plus Amo DT

Lakini Kumbuka Muhimu kwanza ucheck FBP ili kujua shida imeanzia wapi na Tatizo ni nini..

umeelewa??
 
Kwanini umefikiria Kimeo..
Daktari alipaswa kumpima Vipimo vingine kama FBP (Full blood Picture) ama Complete Blood Count (CBC)...

Sometimes mtoto anaweza kusumbuliwa na Allergy au Asthma na Pia anaweza kuwa na TB kama atakuw contact na mtu mwenge TB..
Vipimo vingi sahihi kwa mtoto vilihitajika..

Lakini mara nyingi mtoto wa 0 mpaka 12 months kikohozi chake ni Viral..
Na wengine wanapata Whoop cough (pertussis)
Kwahyo examination na Vipimo zaidi kwa mtoto vilihitajika..

By the way Ukataji wa Kimeo sio.Sahihi na inaweza kuhatarisha Afya ya mtoto
Huenda asilimia kubwa ni allergy na asthma.... Jaribu kulicheki hili ninaye mtoto anayesumbuliwa na hilo tatizo hukohoa na kutapika matapishi kama makohozi yenye rangi ya njano.
 
Shukrani kwa majibu mazuri!
Sasa kwa hali hiyo ya Mtoto..
Ningekuomba kwenda kupima FBP...
Huenda mtoto anatatizo la Pumu au Allergy..

Ni vizuri kwanza ukagundua mtoto anakohoa sana Wakati gani au ukimpa nini..

Pili Muco-Asthalin (salbutamol na Bromhexine) inasaidia sana kwa Mtoto mwenye shida kama yako..
Plus Loratadine plus Corticosteroid yoyote (Mfano Predinisolone ni nzuri sana)
Na antibiotics Ya chini kabisa tumia Amoxiciline DT ..

So MucoAsthalini plus Predi plus lora plus Amo DT

Lakini Kumbuka Muhimu kwanza ucheck FBP ili kujua shida imeanzia wapi na Tatizo ni nini..

umeelewa??
NimEkuelewa sana doctor nashukuru haswa... Nitakachofanya Ninakwenda kumuonesha mtu wa famasi hiki kipande👇

"So MucoAsthalini plus Predi plus lora plus Amo DT

Lakini Kumbuka Muhimu kwanza ucheck FBP ili kujua shida imeanzia wapi na Tatizo ni nini.."
 
Huenda asilimia kubwa ni allergy na asthma.... Jaribu kulicheki hili ninaye mtoto anayesumbuliwa na hilo tatizo hukohoa na kutapika matapishi kama makohozi yenye rangi ya njano.
Yeah ni kweli 100% nakubaliana na wewe as per my post # 16
 
Back
Top Bottom