Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

nimpe upendo gani zaidi? Nimemjengea nyumba nzuri,gari nzuri ya kutembelea,chakula kizuri hakikosekani nyumbani,nini zaidi nimpe?

mkuu kama ume mtimizia yote hayo una fikiri mwanamke ni mali tu ndio ana taka???Hebu mlete nikuonyeshe anacho taka then atakuja kukusimulia kama si kuondoka kabisa!kweli wewe dhaifu!
 
Kwanini wasimalize tofauti zao? Mwambie wife amuombe samahani mama yako yaishe..muishi kwa amani..HAKUNA MAISHA MAZURI KAMA KUISH VIZUR NA WATu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Warning gani..kumuambia maneno kama yale mume haifai na ni kumkosea heshima.

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Yale anayoongea yeye ni heshima? Usifikiri una describe heshima hapo, unaonesha ujinga na uduni wa nafsi.

Ndio maana tunapofunga ndoa kanisani wazazi wanaambiwa watuache, sio jambo zuri kurundikana kama wanyama. Familia ziwe na mipaka.

Ni maisha ya kiswahili sana mzazi kuingilia mambo ya nyumba ya mwanawe
 
mwanamke ataniambiaje nimtaftie mwanaume,huku si kunidharau kabisa

sasa ulitaka akuambiaje labda kwa mfano? kusoma hujui na picha huoni? mwenzako kucheat hawez ndo maana kaomba msaada na kukuambia hvyo simply coz anahitaji haki yake ya ndoa unataka aitoe wapi pengine?
 
I don't get it a rijali passin' on a good pu$$ie, for me hata nigombane kiasi gani, i would still own that pvssie and make angry sex like there is no tomorrow, session ikiisha ugomvi una-resume palepale..
 
Mie nimewashangaa na kuona watu wanakasirika sana kumkemea kijana.......!!
Mwenzenu kasema yupo baa na anapiga maji "MAYIIII...."
Kwa hiyo amelewa huyo..........ni mlevi.....
Sasa mnakasirikia mlevii....?
Akija kuzinduka atakana kuwa yeye hakuandika hivyo kuna mtu alimuibia password......!!
 
Ungekuwa kaka yangu ningekuja kukupiga wewe huna akili kabisa tena hata mkeo ni kwa sababu anakupenda angekuwa ameshampata ubaki na shida zako,hivi mkeo kabila gani?amefunzwa sana la sivyo
 
Asalam aleikum, mimi ni mwanaume rijali mwenye mke 1 na watoto 2,kwa muda mrefu mke wangu amekua haelewani na mama yangu mzazi, na kila ninayeongea naye ili kujua tatizo anamlaumu mwenzie, nikaonelea nikate mawasiliano ya chakula cha usiku/ndoa na mke na niwe nachelewa home ili kumshikisha mke adabu kama mnavyojua hakuna kama mama,matokeo yake nikiwa kazini nimepokea ujumbe toka kwa wife kuwa nanukuu "nakupenda sana mume wangu,kama umeamua hivyo basi nakuomba unitaftie mtu wa kuniliwaza maana mm sijui pa kuanzia na siwezi kuvumilia upweke tena" nimeshindwa kujua nimzibue au nimfukuze,mpaka sasahivi niko bar nagonga maji na nina mawazo tele,msaada jamani nifanyaje

Hivi inakuwaje mwanaume unanunaa!!jamani mwanaume lazima ujue kupambana na kutatua matatizo ya familia yako,sio unamchunia,haya sasa kama vipi mtafutie kama alivyokuomba,nimependa njia aliyotumia mkeo,so nice!!Yani umenishangaza,hujui hata kupembelezwa,pole mke mtu kwa kukosa kubembelezwa,mfikishie hii mkeo eeh!!
 
Nakwambia ukiendelea hvyo lazima serengeti boy akusaidie kazi, we c umesusa wenzio watakula.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom