Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

na mama yangu je?

kamuoe yeye basi kama ni muhimu kiasi cha kumnyima unyumba mkeo,mijitu mingine sijui huwa mnafikiri kuoa ni kuvaa tu suti na kupiga picha baharini!hivi unathubutu kabisa kurule out ugomvi wa mkeo na mama yako kwa kumyima unyumba mkeo eti unamtia adabu?alichokuuliza ni sahihi kabisa wala hajakosea!wakati mwingine a nuts shul be treated like one!
 
Wanawake wa siku hizi balaa kabisa,

kama kwa upuuzi uliofanya na we unajiita mwanaume tena rijali bai wengine waume zetu sijui tuwaitaje!yani mi sieiewi unaanzaje kulaumu wanawake wa siku hizi wakati kwa hilo ulilofanya sijui kama kuna mwanamke awe wa zamani au wa sasa anaweza kuliona ni sawa!
 
Sijui ni pombe au frustuation lkn mimi namuona huyu mtu kuwa ni very arrogant; na kwa watu wa namna hiyo hawawezi badilika coz haoni kabisa kama amekosea; alikuja humu akitegemea atapata support lkn amepewa za kweli n has become more mad na kuona tunamuonea simply because kamjengea nyumba (wanayoishi na yeye ambayo ni basic need), kamnunulia gari (ambalo analitumia ktk reproduction n production needs za familia), anamlisha (another basic need) vitu ambavyo hata sisi ambao hatujaolewa tunavyo na bado tunataka kuolewa (sio na his like lakini).
 
Mwanamke hawezi kunipandia kichwani
akupandie kichwani mara ngapi?ameshakuona wewe ni mwanaume usiyejiamini!usiyejatambua na usiyejua thamani ya mke!ndo mana anakwambia umtafutie mwanaume wa kushughulikia!na believe me,sio kwamba hawezi kumpta au hajui pa kumpata !alitaka tu kukufanya ufike hapo ulipofika !yani kimsingia mekupa tusi zaid ya unavofikiri!imagine unaenda kwa mwanaume mwenzio unamwambie ''naomba ukanotombee mke wangu,af kwa sababu mi nna gari nyumba,hela ya chakula ntalipa pia na hoteli kwa usiku mzima na we menyewe ukitaka nitakulipa!af asbh mkishamaliza nitakuja kumchukua mke wangu"mptuuuuuu!
hujui thamani ya mke wako hustahili kuheshimiwa wala kupewa hadhi wanayopewa wanaume wenzio wanaojijua wao ni marijali na ishara ya urijali wao ni kuhakikisha wake zao wapo salama kihisia,kimwili,kiimani,na kila kitu!
 
dah! Nikwambie kitu bro! Huyo mkeo ni wa maana sana! Familia yako kwanza mengne yanafuata! Kwa upeo mdogo wa kufikiria mama yako ni mshari sana! Angalia bomu unalotengeneza litakulipukia
 
Asalam aleikum, mimi ni mwanaume rijali mwenye mke 1 na watoto 2,kwa muda mrefu mke wangu amekua haelewani na mama yangu mzazi, na kila ninayeongea naye ili kujua tatizo anamlaumu mwenzie, nikaonelea nikate mawasiliano ya chakula cha usiku/ndoa na mke na niwe nachelewa home ili kumshikisha mke adabu kama mnavyojua hakuna kama mama,matokeo yake nikiwa kazini nimepokea ujumbe toka kwa wife kuwa nanukuu "nakupenda sana mume wangu,kama umeamua hivyo basi nakuomba unitaftie mtu wa kuniliwaza maana mm sijui pa kuanzia na siwezi kuvumilia upweke tena" nimeshindwa kujua nimzibue au nimfukuze,mpaka sasahivi niko bar nagonga maji na nina mawazo tele,msaada jamani nifanyaje


Maambie aende corner bar Sinza atapata walimu (kama mnaishi Dar), na atajua tu pa kuanzia, badala ya kusema tukae chini tujadili tofauti zetu anafikiria kuliwazwa? anatakiwa kutafuta namna ya ku solve issue amicably na sio through threats, kwa hiyo ukiamua kumpa haki yake utakuwa unafanya hivyo kwa sababu una enjoy, au kwa sababu ya hofu ya kusaidiwa?
 
na mama yangu je?

Ndugu yangu kuwa makini! Tatua matatizo yaliyopo sio kwa sababu hakuna maelewano kati ya mama na mkeo basi wewe unaegemea kwa mama! kuwa imara mwanamke ni mwanamke hata akiwa mama yako, ana mapungufu yake unaweza ukakuta problem iko kwa mama na si hata kwa mkeo..jaribu kuwasikiliza wote kuhusu tatizo nini ukishajua tafuta solution,kama utakuwa mtu wa kuamua kila kunapokuwa tofauti kati ya mkeo basi unamfavour mama tu,basi tegemea kuoa na kuacha kila leo maana yawezekana mama yako ndio ana mapungufu. Na kumhukumu mkeo kwa kumnyima haki yake kisa haeleweni na mama ni KOSA ndugu! Muombe radhi mkeo mpe haki yake,hakikisha unampa mambo kama Messi anavyozifumania nyavu,kisha mkipumzika kidogo kwa ustaarabu na mahaba ya hali ya juu mwambie " Dear napenda kuona unaishi vizuri na mama yangu mzazi,nakuomba unieleze bila kunificha matatizo yaliyopo,Please!!" kuna chance kubwa atakueleza yote,then utaongea na mama pia atakueleza,kutokana na maelezo yao utakuwa na uwezo wa kutatua tatizo na kama hata baada ya maelezo yao ukaona pagumu,waletee hapa great thinkers watakupa ushauri tu ila pia kuwa makini sio kila ushauri uuchukue na wewe akili mukichwa lazima ichemke kuunganisha nukta.
 
Maambie aende corner bar Sinza atapata walimu (kama mnaishi Dar), na atajua tu pa kuanzia, badala ya kusema tukae chini tujadili tofauti zetu anafikiria kuliwazwa? anatakiwa kutafuta namna ya ku solve issue amicably na sio through threats, kwa hiyo ukiamua kumpa haki yake utakuwa unafanya hivyo kwa sababu una enjoy, au kwa sababu ya hofu ya kusaidiwa?
hapo sasa ndio pananitia hasira,kanidharau sana huyu mwanamke
 
We mwenyewe hata huoni aibu kusema kuwa umekata mawasiliano ya chakula cha usiku, hujisikii vibaya wewe baba wewe???????Huyo ni mkeo na mama ni mama yako, kaa na mkeo uzungumze naye mtatue tatizo lililopo, Badala hata ya kumtia moyo mkeo avumulie, ndio kwanza unamvunja moyo. Wewe hujui kama ndoa huwa zinachangamoyo nyingi kama hizo sasa za Mama yako. Mama anafanya nini hapo kwako, kwani ni asiwe anakuja kusalimia na kurudi kwake?????
 
Wewe ndio umejipanda kichwani ndugu yangu kwa maneno unayo yaaandika humu you need help!

Yan unamuoa mtoto wawatu alaf unamnyima haki yake kakwambia tena kwa kukuheshimu wewe mwenyewe ndio umtafutie kama unaona ni haki wewe kumnyima.

Kwanza shukuru mkeo ana hekima sana ni mstaharabu, mwingine wala asinge kuuliza bali ungejionea mwenyewe.

QUOTE=Mkumbavana;4632137]Mwanamke hawezi kunipandia kichwani[/QUOTE]
 
We mwenyewe hata huoni aibu kusema kuwa umekata mawasiliano ya chakula cha usiku, hujisikii vibaya wewe baba wewe???????Huyo ni mkeo na mama ni mama yako, kaa na mkeo uzungumze naye mtatue tatizo lililopo, Badala hata ya kumtia moyo mkeo avumulie, ndio kwanza unamvunja moyo. Wewe hujui kama ndoa huwa zinachangamoyo nyingi kama hizo sasa za Mama yako. Mama anafanya nini hapo kwako, kwani ni asiwe anakuja kusalimia na kurudi kwake?????
mimi sikai na mama yeye anakaa kwake na mme wake ila akija kwanguakikaa kidogo lazma nipate mashtaka
 
mkuu tafadhali sana ntakutandika ngumi ya pua uzirai!
mwanaume mwenzio anayejitambua na kujijua urijali wake kashantandika na dushelele usiku kucha na alfajiri kabla ya kwenda kazini kantandika tena BARABARA!mi sa hizi burdani nimekalia beseni la barafu huku nabrowse hapa!SAFI!
 
Endelea kutoaa gambe baaab, c unajua leo weekend? Yeye aendelee kubaki na upweke wake hadi atakapo kiri kosa, la mzozo mliokuwa nao kama umepiii.
 
Mtafutie....

Kama umekata mfereji unapitisha maji unadhani yeye atatoa wapi wakati maji ni matumizi muhimu kwa afya ya binadamu
 
Hahhahahahahahahahahaha
daaaaaaaaa umemmalizaaaaaa
Najua jamaaa pombe zote zimemuishaaaaa
hahahahahahaha

mwanaume mwenzio anayejitambua na kujijua urijali wake kashantandika na dushelele usiku kucha na alfajiri kabla ya kwenda kazini kantandika tena BARABARA!mi sa hizi burdani nabrowse hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom