Kama anadai kaitwa shoga na yeye anasema siyo shoga, mahakama itathibitishaje yeye sio shoga "kwa maana anayoitaka mwenyewe".una maana itabidi ifanyike physical examination?
Inabidi uthibitisho ufanyike,mbona kila siku mtu huyo huyo analalamika anaitwa shoga
Huyo mwanamke bora angesema, nilikosea namba ujumbe ukaenda ambako sio.
Lakini kwa maelezo hayo inaonekana alidhamiria kabisa kumtukuna RC.
Sijapenda Lema anavyomwingiza mke wake kwenye siasa za maji taka.......
Matumizi ya neno hayaishii kwenye kamusi tu bali jamii hulichukuliaje hilo neno shoga kwenye matumizi ya kila siku hasa linapohusu mwanaumeTafuta tafsiri ya neno SHOGA katika kamusi hayo mengine yako
Usijekuwa mchezo kumbe ni mheshimiwa mwenyewe alitumia simu hiyo kukwepa msala (nawaza tu)Hilo ndo la kujiuliza. Halafu anasema kuwa wamekuwa wakiwasiliana mara kwa mara. Hivi Lema anajisikiaje kusikia mkewe akisema hayo? Kwa nini hashtuki?
Hilo ni kati ya mwanamke na mwanamke mwingineMtu na shoga yake
Ina maana kavunja sheria za usajiri za TCRA ambazo huhitaji kila MTU asajili kwa vitambulisho vyake binafsi adhabu inamsubiri ya nguvuNionavyo Mimi huyu mama anafanya hivi ili kumuokoa mmewe. Inasemekana usajiri wa namba iliyotukana inatumia jina la Godbless Lena. Alipofuatwa kukamatwa Lena mama akasema ni yeye ndiye mwenye namba hiyo na ndivyo alivyosajiri.
Ni sahihi kabisa, Shoga (kwa kiswahili fasaha na sanifu) si tusi ila ni rafiki wa kike. Shoga si baradhuli. Hata hivyo inawezekana ikawa sahihi kama uwa anaweza kuthibitisha kuwa kweli ni " shoga" kwa kuwa hakuna tofauti baina yao! Sauti nene pekee haimaanishi kuwa" mtoto si riziki"Mke wa Mbunge huyo amekana kumtusi Mkuu huyo wa Mkoa baada ya kudai kuwa neno shoga sio tusi bali ni neno ambalo hulitumia kuwaita marafiki zake.
Dah... Sio tatizo lako ila ni mlezi wako!Kwahiyo CCM mnamtetea shoga.
Kama ni Mwanangu anakomaa kuoa au kuolewa na familia ya Criminal Lema, Wallah namuachia radhi.Ndio maana kuna familia watu hushauriwa wasioe au kuolewa.hivi hapo MTU una nduguyo kapata MTU wa kuoa au kuolewa hiyo familia ya lema si utamzaba makofi na kupiga mateke kuwa anaingia makundi ya organized criminals
Kwa hiyo mke wa Lema ni shoga wa rc?Kimshtue nini sasa?!!!!!!!
Mke wa mtu unachat na mwanaume mwingine na lijamaa linachekacheka hapo pembeni! Muraaa! Ingekuwa kwetu muraa, tungemughecha muraa!hata mie hapa pamenipa mushkeli, inaonekana wanafahamiana kitambo, mpaka kwa whatsapp, duu