Kwa maendeleo makubwa aliyoleta Gambo Arusha, Lema atafute Jimbo lingine

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,053
49,737
Kwanza nampingeza sana Mrisho Gambo Kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo Jimbo la Arusha.

Pili naunga mkono hoja yake kwamba Wana Arusha sio wapumbavu kiasi Cha kumchagua Lema badala ya Gambo ambae Kwa miaka 5 tuu amelibadilisha Jiji la Arusha na kuwatokomeza Wala Rushwa.

Kila mtu ajiulize watu wa Arusha wanataka Mbunge wa porojo na kutukana hovyo au wanataka Mbunge Shupavu wa kuleta maendeleo?

Miaka 15 ya Ubunge wa Lema Arusha Mjini imekuwa ni miaka ya hasara na maneno na vurugu ila Toka Gambo ameingia Arusha imechangamka,mahoteli yamejaa,stand imeanza kujengwa,Barabara zinajengwa na Jiji limechangamka Kwa Biashara Kem Kem.

Ni ama Lema aamue kuacha siasa au ajikite kwenye kazi yake ya unabii na uzushi kule kwenye kiblog chake Cha Tanzania Leaks.

The likes to Chadema waanze kutafuta maji watakaponyolewa wasije kutafuta visingizio.

Kazi iendelee 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C1r6QA6vgMh/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
🙆😂😂 Bwahaaaaa bwahaaaa, nimecheka kwa nguvu vibaya sana, eti Gambo amepeleka Arusha maendeleo makubwa!
 
Uzuri kuna dalili baadhi ya majimbo mama anaweza asiingilie matokeo. Kuna dalili baadhi ya majimbo majibu yakatangazwa jinsi yalivyo
Huyu maza mwenyewe hali tete. Sithani kama anaweza kushinda. Sasa yeye mwenyewe tia maji tia maji atampiganiaje mwingine?
 
Asiposhinda Samia nani anaweza kushinda? Nitajie
Rais Samia hana wa kushindanishwa naye. Uwezo wake kiuongozi,uchapa kazi wake,kukubalika kwake na kuungwa mkono na wananchi ni makosa makubwa sana na matusi kumlinganisha Rais Samia na mgombea yeyote yule hapa Tanzania kwa uchaguzi ujao. Rais Samia hana hata sababu ya kupiga kampeni uchaguzi ujao,maana miradi aliyo jenga,huduma alizopeleka kwa wananchi,ajira maelfu kwa maelfu aliyo wapata vijana,fursa za kibiashara alizitengeneza hapa nchini,uchumi aliojenga na unaogusa maisha ya watu,amani na utulivu vilivyoshamiri hapa nchini,furaha waliyo nayo Watanzania kwa Rais Samia na mengine mengi sana yanatosha kumpigia kampeni Rais Samia hta asipopanda Katika jukwaa hata moja hapa nchini kuomba kura.Mikono ya Rais samia ipo kila mahali.
 
Mleta mada mbona kama wewe ndie gambo mwenyewe!
Kwa Arusha ilivyo sasa gambo sahau kura zetu wana Arusha!
 
Kwanza nampingeza sana Mrisho Gambo Kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo Jimbo la Arusha.

Pili naunga mkono hoja yake kwamba Wana Arusha sio wapumbavu kiasi Cha kumchagua Lema badala ya Gambo ambae Kwa miaka 5 tuu amelibadilisha Jiji la Arusha na kuwatokomeza Wala Rushwa.

Kila mtu ajiulize watu wa Arusha wanataka Mbunge wa porojo na kutukana hovyo au wanataka Mbunge Shupavu wa kuleta maendeleo?

Miaka 15 ya Ubunge wa Lema Arusha Mjini imekuwa ni miaka ya hasara na maneno na vurugu ila Toka Gambo ameingia Arusha imechangamka,mahoteli yamejaa,stand imeanza kujengwa,Barabara zinajengwa na Jiji limechangamka Kwa Biashara Kem Kem.

Ni ama Lema aamue kuacha siasa au ajikite kwenye kazi yake ya unabii na uzushi kule kwenye kiblog chake Cha Tanzania Leaks.

The likes to Chadema waanze kutafuta maji watakaponyolewa wasije kutafuta visingizio.

Kazi iendelee 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C1r6QA6vgMh/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Gambo aendelee kufungasha virago ...
 
Machalii huwa hawaangalii kilichofanyika bali ambacho hakikufanyika wanachoamini kilipaswa kufanyika. Unadhani Lema alifanya mengi sana? Hapana. Ila anajua tu kuwatajia ambayo bado na kwanini yangeweza kufanyika. Atatupa lawama kwa Gambo utadhani ana fungu na machalii wote wataungana na Lema. Arusha siasa zake ni tofauti na za Rufiji. Complicated kidogo.
 
Sidhani kama Arusha Ina wapumbavu wengi kiasi hicho.

Lema hakufanya Chochote
 
Machalii huwa hawaangalii kilichofanyika bali ambacho hakikufanyika wanachoamini kilipaswa kufanyika. Unadhani Lema alifanya mengi sana? Hapana. Ila anajua tu kuwatajia ambayo bado na kwanini yangeweza kufanyika. Atatupa lawama kwa Gambo utadhani ana fungu na machalii wote wataungana na Lema. Arusha siasa zake ni tofauti na za Rufiji. Complicated kidogo.
Arusha watu wanajitambua sn
 
Back
Top Bottom