Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

Aliyemwita shoga no mkuu was mkoa au Mrisho Gambo? Yaani ametuma kwa simu ya ofisini au ya MTU binafsi?
 
Kwani anaogopa kusema kweli, jamani huyo ni mke wa kamanda si aseme tu ukweli kuwa alidhamiria kumuita huyo RC shoga liwalo naliwe! anaogopa nini kuanza kupindisha pindisha maneno? ooooops nimekumbuka na yule mheshimiwa aliyegoma kula halafu akasingizia eti alikuwa amefunga, waache woga wajiamini waseme wazi walichodhamiria huo ndio "UKAMANDA"
Ushahidi na utetezi unatolewa mahakamani. Huwezi kutarajia aseme yote kwa waandishi wa habari!
 
Umenikumbusha rafiki yangu Sebastian Mkundukuwaka mwenyeji wa mbambabay Ruvuma,tulishindwa kumuita ubini wake tukiwa wadogo tukidhani tunatukana!
Mtaani kwetu ilishindikana kumwita jamaa yangu aliyejulikana kwa jina la Balthazar Johnstone Nd'ilimnyo.
 
Ukiolewa na criminal na we polepole unaingia katika u criminal.
Ndio maana kuna familia watu hushauriwa wasioe au kuolewa.hivi hapo MTU una nduguyo kapata MTU wa kuoa au kuolewa hiyo familia ya lema si utamzaba makofi na kupiga mateke kuwa anaingia makundi ya organized criminals
 
Hilo ndo la kujiuliza. Halafu anasema kuwa wamekuwa wakiwasiliana mara kwa mara. Hivi Lema anajisikiaje kusikia mkewe akisema hayo? Kwa nini hashtuki?
hata mie hapa pamenipa mushkeli, inaonekana wanafahamiana kitambo, mpaka kwa whatsapp, duu
 
Hilo ndo la kujiuliza. Halafu anasema kuwa wamekuwa wakiwasiliana mara kwa mara. Hivi Lema anajisikiaje kusikia mkewe akisema hayo? Kwa nini hashtuki?
Lmda walikua marafiki kbla ya hicho cheo
 
Huyu lema hana hela za kumwekea mkewe mwanasheria kweli?,

kama tafsiri ya neno shoga ni anaetixxa nyuma itakuwa imekula kwa huyu mama
 
Video: .Mke wa Lema akisema yeye anao mashoga kibao
Huyu hana mashoga asubiri afungwe akakutane gerezani na mashoga original wamgombanie kama Mpira wa kona halafu akitoka aje atamke hilo kuwa ana mashoga wengi.huyu ana hamu ya kukutana na mashoga original hakimu ampe haki yake amfunge aende akakutane nao
 
Huyu Mwanamke tayari keshajifunga
Kwa lipi? Kwani mtu akisema wewe na Chabruma ni mashoga wa muda mrefu kwa sababu kila usemacho wewe au asemacho yeye lazima mpeane support atakuwa katukana?
Msiwe na mawazo kama ya Wassira wakati ule alipopigana ukumbi wa Habari maelezo alipoambiwa yeye ni shogaake mkubwa na Mrema walipokuwa NCCR. Lakini baada ya kupewa maelezo ya maana sahihi ya shoga alitulia.
 
Huyu lema hana hela za kumwekea mkewe mwanasheria kweli?,

kama tafsiri ya neno shoga ni anaetixxa nyuma itakuwa imekula kwa huyu mama
Halafu alivyo , yaani kakiri kila kitu. Kasema neno shoga si tusi bali yeye ana mashoga wengi na anawaita hivyo. Pia kasema simu iliyotumika ni yake! Tehetehetehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom