Mke wa Freeman Mbowe

Status
Not open for further replies.
eeh since when cuppilicious lakini eeh!....anyways kwani ni siri mwafrika wa Kike kuwa siyo mke wa Mbowe?.....mwambie arudi athibitishe mwenyewe hapa!....

Cuppilicious unataka kuleta kizaazaa humu. Nakumbuka Mwafrika wa Kike before I met you Cuppy, alitaka kuni hook up na kid sister wake. Na mimi ningekuwa Chadema...Lol
 
Kizaa zaa gani cupilicious eeh...huu ni wakati wa uwazi na ukweli kama watu wanarusha madongo kwa CCM kwa nini na chadema isiruhushiwe?....And then ikawaje sasa?...Mwafrika wa kike toka atoe ile skendo ya JK akaingia mitini hakurudi tena hadi leo hii....yaani yule alikwua bonge la dateline maana alikuwa anajua sana inside issues!....hapa alikuwa secret undercover..
 
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?

Kubwajinga hebu acha unafiki.
Eti oho mbona Mbowe hajibu akijibu utapiga kelele kama ulivyopiga kwa Dk Slaa alivojibu na ukamsifia Mbowe kwa ukimya wake...inasikitisha kwamba hauko constistent.....unapayukapayuka kama nduguyo Makamba.Mbowe muacha ajikalie kimya,akijibu Dk Slaa inatosha.Unafikiri CHADEMA haina mambo mengine ya kufanya zaidi ya kujibu hoja?ebo....
 
umeishasema ni mke wa freeman mbowe sasa shida gani inayokusumbuwa. kumbuka sio mke wa public kama ulivyolitumia neno hilo
Asante sana na pia anatakiwa kujua kuwa hizo mambo ni za kifamilia hatakiwi kuingilia,kwani ustaarabu huu alishawahi kuusikia wapi?au public issues anazielewaje?
 
...Hivi na yule mke wa Mzee wa Kilalacha yupo??? Niliwahi kusikia alikuwa anafikia mpaka kuchojoa viwalo??? Kudadadeki!!! Si ndio ma-1St Ladies wetu hao jameniiiiiii.....
 
Hii post haijatulia, imekaa kitoto ka Kabwe Zitto na aliofulia nao vile!!!!
 
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?

Shirikisha Brain wewe kabla hujaropoka..........Tangu lini Mwenyekiti akajishughulisha na SISIMIZI?
 
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?

Kama mwenyekiti atajibu mambo yote kuhusu chama na wanachama tena sisimizi, watendaji wengine ktk chama watakua na kazi gani? Chadema na hata vyama vingine vyenye utawala bora kama taasisi vinataratibu na mgawanyo wa kazi. Hawa walikua waajiriwa na waajiriwa wote wa chama wako chini ya sekretarieti inayoongozwa na Katibu mkuu. Katibu mkuu mwajiri wao kashaongea na kuandika. Mbowe mnataka azungumze nini? Mbona tunakua na alegitions zisizo na maana? au kunawatu wana hamu sana ya kusikia sauti na kuona sura ya hisia ya mtu huru?

Chadema wanataratibu za kiutendaji na utoaji habari na waacheni wafate taratibu zao. Itakua mbaya sana kama chama hasa mwenyekiti akiingia kwenye siasa za magazetini.
 
hata ndg zitto ilinishangaza kuhusu kuunga mkono kutumia uozo wa mitambo ya dowans wakati dr.mwakiembe alishaonya kutoitumia dogo kavuta pale na sasa hivi ndo jinamizi linalomsumbua sasa,na litamtamtesa sana
 
Mwenye thread hii ni anadhumuni gani, hiyo ni privacy yao na haiitajiki kuingiliwa. kama hapendi siasa hapendi usimfoc.Ukiforce mweshoe atakuja kwenye siasa na atakua fisadi bure...nashauri wamwache na privacy yake.
 
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

hivi na mzee Masudi Kaombwe akihama CCM JK anatakiwa aongee na waandishi wa habari?? au mkuu kikipotea hata kijiko huwa unaita familia yako kikao cha dharura?? Watz wengi mawazo mgando sana.........
 
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?

mbona rais wenu mkwere hajitokezi kujibu mambo lukuki yanayoikabili nchi??kwako wewe kafulila na danda ndio maarufu lakini they are just sisimizi...
 
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

hivi na mzee Masudi Kaombwe akihama CCM JK anatakiwa aongee na waandishi wa habari?? au mkuu kikipotea hata kijiko huwa unaita familia yako kikao cha dharura?? Watz wengi mawazo mgando sana.........

well said..huyu inaonekana hata mboga ikiwa imewekwa chumvi nyingi nyumbani kwake huwa anaita kikao cha familia...
 
naona hujasoma mgawanyo wa madaraka, katibu wa chama anatosha kujibu shutuma ndoogo kama hizo za akina kafulila. ni watu wadogo sana! mwenyekiti ana issue kubwa za kitaifa. tafadhari rejea mgawanyo wa madaraka uelimike!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom