Mke wa Freeman Mbowe

Status
Not open for further replies.
mimi sijali kuhus mke wa mbowe (lilian mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

tatizo ninaloliona ni la kwa nini mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu chadema??

inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (kafulila & danda juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?

hawa wandugu kafulila na danda wanatumiwa na kundi fulani kuichafua chadema pengine washapewa vijisenti maana wanasiasa wetu wana njaa balaa hawajali misingi ya siasa maana hata ndg zitto ilinishangaza kuhusu kuunga mkono kutumia uozo wa mitambo ya dowans wakati dr.mwakiembe alishaonya kutoitumia au wanataka umaarafu wa kisiasa kama zitto, hata wakiondoka chadema itabaki na nguvu, hata zitto akiondoka chadema itabaki na nguvu.
Mwenyekiti mbowe na mzee ndesamburo wameifadhili chadema kwa kipindi chote kwaio lazima wawe na usemi mkubwa au tuite ushawishi mkubwa kwenye chama.
Hata japan na germany zinaongoza kutoa michango y ela nyingi katika un kama vile uk , usa na france wanavyofanya na ndio maana zinalilia nafasi ya kudumu kwenye baraza la usalama la un.
Hata kwenye kampuni wenye hisa kubwa wana usemi mkubwa kuliko wenye hisa ndogo.
Kwaio mwenye nguvu mpishe afanye mambo yake
 
Mke wa Freeman Mbowe anafahamika kama Dk.Lillian Mtei-Mbowe na Mzee Edwin Mtei, Mwenyekiti Mstaafu na Muasisi wa CHADEMA ambaye ni mwanaJF hafichi kuwa Freeman ameoa bintiye.

Dk. Lillian ni daktari mwandamizi na anaongoza kliniki inayoshughulikia waathirika wa Ukimwi iliyoko mahala Hospitali ya Sewa Haji ilipokuwa, karibu na ofisi za Regional Police Commander, Dar es Salaam.

Kama Mtanzania mzalendo ningeomba Dr Lillian Mtei-Mbowe aendelee kuhudumia wagonjwa wake kwa juhudi zote. Endapo mumewe atakubaliwa na umma kufanya mambo makuu zaidi, hakuna shaka Dk. ataweza kumsaidia pia kama mkewe.

Sisi WanaJF tujadili mambo muhimu zaidi. Hata hao wake wa viongozi wengine wakuu walikuwa ama waalimu, mama wa nyumbani au maofisa katika idara au kampuni wakati waume zao wakiwa katika harakati za kuwania ofisi za juu ktk umma.
 
Thanks kwa kutukumbusha kwamba we are not great stinkers or sinkers or even singers...!!!
 
Kubwajinga, hili ni swali zuri, kwani Kikwete ameshajitokeza kujibu mengi yanayoisulubu CCM?

Maybe they have something in common!!! needs some similarities
1. ...........
2. ................
3.

MTM,
JK and Mbowe might have something in common i.e., When things get Sour, It becomes time for them to hide.

JK ana mengi sana ya kujibu, [Richmond, Dowans, Lowassa, RA, EPA n.k.], ingawa sidhani kama waandishi wetu wakipatiwa hiyo nafasi ya kumuuliza maswali watamuuliza hayo.

Lakini angalau JK anaweza akasingizia majukumu mengi ya uraisi yanamfanya asiongee na wanahabari wa TZ.

Lakini, Je Mbowe anakisingizio gani cha kumfanya asiongee na wanahabari, hata kama ni wa gazeti lake, kujibu tuhuma ambazo nyingi zimeelekezwa kwake?
 
Lakini, Je Mbowe anakisingizio gani cha kumfanya asiongee na wanahabari, hata kama ni wa gazeti lake, kujibu tuhuma ambazo nyingi zimeelekezwa kwake?

Mkuu hili ni swali la msingi... Labda atasingizia anaongoza chama kikuu cha upinzani, sasa jiulize akipewa nchi sijui hata kama ofisini atafika!!!

Sometimes its very hard to understand these guys!!! Kiongozi bubu ni hatari kwa taifa
 
Hata mkimjua mke wa Freeman Mbowe atawasaidia nini? She is not yet a public figure. Tudiscuss mambo mengine ya maana au mwishowe tutabaki kuandika umbeya
 
Mwenyekiti mbowe na mzee ndesamburo wameifadhili chadema kwa kipindi chote...
...kwaio lazima wawe na usemi mkubwa au tuite ushawishi mkubwa kwenye chama.
Hata kwenye kampuni wenye hisa kubwa wana usemi mkubwa kuliko wenye hisa ndogo.

Somi,
Japo kwa upeo wako mdogo, nafuu umeona wazi kuwa, CHADEMA ni ya wale wenye hisa kubwa (i.e. wawekezaji wakubwa chamani), na pengine ndio maana Zitto alizuiwa kuwa M'kiti.

Wengine tulishasema haya siku nyingi kuwa, vijisenti vya Mbowe na Ndesamburo, wanayoipa CHADEMA halafu wanarudi baadaye kinyume-nyume kukidai CHADEMA wanapoona pesa ya Ruzuku imeingia, inakifanya CHADEMA kiwe chama cha kitumwa, kikabila na kisichoweza kujifanyia maamuzi binafsi billa ya hao, Mbowe, Mtei na Ndesamburo, kuingiza pua zao. Sidhani kama hii ndiyo Demokrasia na Maendeleo Watanzania wanayopigania.

CHADEMA wanatakiwa wajikomboe kwanza kutoka kwenye huu Ukabaila wa Mbowe, Mtei, Ndesamburo & co., kabla ya kuomba waTZ rukhsa ya kutawala.
 
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei

lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?

Anajificha nini?

Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately

mzee kuna viongozi wengi wa umma na serikali ambao wake zao hawajitokezi sana hadharani. Sijui tutaufungua huu mlango kwa upana gani na mpaka uwe wapi? Vipi kuhusu wanaotaka kugombea Ubunge na wenyewe ni lazima tujue maisha yao ya familia?
 
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei

lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?

Anajificha nini?

Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
Game theory acha unafiki huyo mama akisema ajihusishe na shughuli za chama utakuwa wa kwanza humu ndani ku-prove natharia ya Chadema ni chama cha familia kwa kupigilia misumari zaidi kama kawaida yako bila kuangalia credentials! Muache afanye kazi zake za kila siku yaani udaktari, si kila mtu mwanasiasa!
 
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?

Mbona JK nae hajitokezi kujibu hoja za akina matheo quares,butiku,musa nkangaa,filip mangula na salim ahmed salimu akiwa kama m/kiti wa chama? au unakipi unataka kusema?
 
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei

lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?

Anajificha nini?

Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately

off point...kwani freeman ni kiongozi pekee ya upinzani mwenye mke? ulizia na wa wengine basi? lipumba, maalim seif nk. umechemka kwa hili
 
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?

Anajificha nini?

We mke wa Makamba unamfahamu? na maanisha mama Januari umewahi muona akifanya kazi za kichama?
 
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
Mzee Mbowe sio msemaji wa chama. Kuna msemaji wa chama yeye ndiye anayetakiwa kuzungumza yahusuyo chama.
Matatizo ya chadema yatatatuliwa na wanachadema wenyewe na sio kwenye vyombo vya habari.
Kumbuka pia Chadema ilikuwapo hata bila ya akina Kafulila na Juju
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom