Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 350
- 31
Werema anamjua Lisu ,ni nani ,hadi anaugua akiwaza moto wa lisu,Wanaopenda sifa wako Magogoni jumba jeupe.magamba nini!Huyu jamaa ni mbishi sana,eti anajua kila kitu,yaani anafanya bunge liwe la ajabu,ndio maana mhe.rais aliwaomba wananch wa singida wasimpigie kura..anapenda sifa hadi anapitiliza..