Wabunge wa CCM kuruka sarakasi Bungeni na wengine kulialia ovyo ni matokeo ya uchaguzi batili 2020

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Kule Bungeni wangekuwepo wabunge makini wa upinzani Kama enzi zile Makamanda Mbowe, Heche, Lema, Msigwa, Sugu, Mnyika, Kamanda Lissu na wengineo CCM wasinge pata muda huu wa kufanya utoto Bungeni.

Sasa hivi huko Bungeni Kuna kikundi cha watu kimejikusanya na kujiita ni wabunge na baada ya kulipwa fedha za walipa Kodi na kuvimbiwa wanabinuka sarakasi miguu juu kichwa chini na wengineo Kama vile kindergarten vinajiliza liza tuu yaani bongo raha Sanaa.

Hili ndilo Bunge Magufuli alilo tuletea akidai wapinzani walituchelewesha sana. Ndio bunge linalo onesha Legacy ya Magufuli kwa namna moja au nyingine nchi imerudi hatua nyingi nyuma.

Wakati wapinzani wakiwepo Bungeni Bunge lilizima kurusha matangazo live lakini Sasa matangazo yake yamerudishwa kurushwa live ili wananchi tunao walipa posho na mishahara watuonesha viroja hivi vya sarakasi na wengineo kulia lia bila sababu.

Maendeleo hayana Vyamaa.
 
Kule Bungeni wangekuwepo wabunge makini wa upinzani Kama enzi zile Makamanda Mbowe,Heche, Lema, Msigwa, Sugu, Mnyika, Kamanda Lissu na wengineo CCM wasinge pata muda huu wa kufanya utoto Bungeni.

Sasa hivi huko Bungeni Kuna kikundi Cha watu kimejikusanya na kujiita ni wabunge na baada ya kulipwa fedha za walipa Kodi na kuvimbiwa wanabinuka sarakasi miguu juu kichwa chini na wengineo Kama vile kindergarten vinajiliza liza tuu yaani bongo raha Sanaa.

Hili ndilo Bunge Magufuli alilo tuletea akidai wapinzani walituchelewesha sana. Ndio bunge linalo onesha Legacy ya Magufuli kwa namna moja au nyingine nchi imerudi hatua nyingi nyuma.

Wakati wapinzani wakiwepo Bungeni Bunge lilizima kurusha matangazo live lakini Sasa matangazo yake yamerudishwa kurushwa live ili wananchi tunao walipa posho na mishahara watuonesha viroja hivi vya sarakasi na wengineowabu kulia lia bila sababu.
Maendeleo hayana Vyamaa.
We achana na Magufuli unashindwa kuandika uzi wako mpaka umtaje JPM.
 
We achana na magufuli unashindwa kuandika uzi wako mpk umtaje jpm .
Ibilisi usipo mkemea basi ibada yako haiwezi kuwa sawa Mbele ya Mungu. Tutamtaja kila wakati Magufuli kwa matendo yake maovu aliyo yafanya hakulazimishwa kuyafanya. Hata yeye alitaka kuanzisha somo la Historia kwa Kiswahili ili jamii iendelee kutambua Mambo yaliyo kwisha kufanyika siku zilizo pita. Hutaki kuona Mungu wako akitajwa unashauriwa nenda Chato au kwenu Burundi kazikwe pembezoni mwake.
 
Hii ndio picture halisi ya shetani magufuri kuharibu uchaguzi.

Tushukuru mungu Kwa kumuondoa haraka angeharibu zaidi hasa kipindi hiki Cha awamu yake ya mwisho.

Angezidisha mara dufu ya haya aliyofanya maana mpaka anakufa alikuwa hakosolewi Kwa chochote.

Nadhani Leo angekuwa anaabudiwa
 
Kule Bungeni wangekuwepo wabunge makini wa upinzani Kama enzi zile Makamanda Mbowe,Heche, Lema, Msigwa, Sugu, Mnyika, Kamanda Lissu na wengineo CCM wasinge pata muda huu wa kufanya utoto Bungeni.

Sasa hivi huko Bungeni Kuna kikundi cha watu kimejikusanya na kujiita ni wabunge na baada ya kulipwa fedha za walipa Kodi na kuvimbiwa wanabinuka sarakasi miguu juu kichwa chini na wengineo Kama vile kindergarten vinajiliza liza tuu yaani bongo raha Sanaa.

Hili ndilo Bunge Magufuli alilo tuletea akidai wapinzani walituchelewesha sana. Ndio bunge linalo onesha Legacy ya Magufuli kwa namna moja au nyingine nchi imerudi hatua nyingi nyuma.

Wakati wapinzani wakiwepo Bungeni Bunge lilizima kurusha matangazo live lakini Sasa matangazo yake yamerudishwa kurushwa live ili wananchi tunao walipa posho na mishahara watuonesha viroja hivi vya sarakasi na wengineo kulia lia bila sababu.

Maendeleo hayana Vyamaa.
Well said
 
Magufuli ndiye aliyetuletea huu upupu bungeni .
Na ni yeye aloleta maendeleo makubwa kwa kipindi kifupi kuliko Rais yeyote Tanzania, ndo alojenga hospitali za wilaya robo tatu ya hospitali zilizokuwa zimejengwa tangu Uhuru, na aliyafanya haya bila hao vibaraka wa kupumuliwa visogoni Bungeni, nenda field simama jukwaani umtukane JPM uone kitakachokupata.
 
Kule Bungeni wangekuwepo wabunge makini wa upinzani Kama enzi zile Makamanda Mbowe,Heche, Lema, Msigwa, Sugu, Mnyika, Kamanda Lissu na wengineo CCM wasinge pata muda huu wa kufanya utoto Bungeni.

Sasa hivi huko Bungeni Kuna kikundi cha watu kimejikusanya na kujiita ni wabunge na baada ya kulipwa fedha za walipa Kodi na kuvimbiwa wanabinuka sarakasi miguu juu kichwa chini na wengineo Kama vile kindergarten vinajiliza liza tuu yaani bongo raha Sanaa.

Hili ndilo Bunge Magufuli alilo tuletea akidai wapinzani walituchelewesha sana. Ndio bunge linalo onesha Legacy ya Magufuli kwa namna moja au nyingine nchi imerudi hatua nyingi nyuma.

Wakati wapinzani wakiwepo Bungeni Bunge lilizima kurusha matangazo live lakini Sasa matangazo yake yamerudishwa kurushwa live ili wananchi tunao walipa posho na mishahara watuonesha viroja hivi vya sarakasi na wengineo kulia lia bila sababu.

Maendeleo hayana Vyamaa.
Wao walitokana na push up lazima wadumishe huo upuuzi wao. Mwingine kalua kama mtoto wa kike
 
Back
Top Bottom