Mjadala: Mume akitaka kuondoka nyumbani, ni lazima aombe ruhusa au kutoa taarifa kwa mkewe?

siyo haki yake usilazimishe kihivo
naweza nikaamua kumwambia naenda mahali flani lakini siyo kumwomba ruhusa
Kwani mada inasemaje? Kutoa taarifa ama kuomba ruhusa.....sasa wewe hapi haujaomba ruhusa ila umetoa taarifa......ni kitu kizuri......nami naongelea kutoa taarifa kama unaenda sehemu fulani.....

Isiwe kesi ......haya ni mawazo tu fanya unavyofanyaga siku zote........
 
TUKIWAENDEKEZA SANA HAWA WANAWAKE MWISHO WA SIKU WATATUSHINIKIZA
MPAKA TUKITAKA KURUDI NYUMBANI TUWE TUNATOA TAARIFA
 
KIPINDI NLIPOKUWA NAISHI NA WAZAZI HAKUNA KITU NILICHOKUWA
NAKICHUKIA KAMA KUOMBA RUHUSA WAKATI WA KUTOKA.. daah huwa muda mwingine nikigundua bi maza yupo seblen nilikuwa nahairisha misele yangu cuz najua tu nikitoka bila kumuaga ata-panick...
KWA UPANDE WANGU NILIKUWA NACHUKULIA
KUAGA NI KAMA KIFUNGO FLANI IVI CHA KUNINYIMA UHURU.
Sawa na kama upo kwenye ndoa lazima ubadilike ujifunze kuomba Ruhusa
 
Datz pita hapa ujifunze kitu, hata kama umetoka kwenye familia ya kunywa chai na kipande cha mhindi
sijakuelewa kabisa binti hiyo familia ya kunywa chai na kipande cha mhindi ikoje

nakuhitaji
 
Wigo wa mapenzi ni mpana sana mojawapo nikumuaga au kumpa taarifa kwamba natoka nakwenda sehem fulani baada ya hapo ntapita kwa fulan then ntarejea nyumbani haya ndio maadili mazuri ndio mapenzi hata dini zimetuelekeza hivo hii inadumisha saana mapenzi. Ndoa sio mabavu Kwani kua mwanaume mpaka uwe na sauti kali nakuona kama mshamba fulani hivi wakati ulimchagua mwenyewe.
 
N
Hiyo inaapply ndoani kwako.... mimi mwanaume anipe taarifa nifahamu anatoka hiyo ya kuomba ruhusu kwani ye mtoto?
Naona nimekukwaza, si nia yangu kufanya hivyo bali ni kifungua Jicho tu. Si kuwa anaomba ruhusa, bali anatoa taarifa lakini kitu taarifa ni pale ambapo unayemtolea taarifa hana ruhusa ya kuhoji. Kama kuna nafasi ya kuhoji jua kuwa hayo ni indirect maombi ya ruhusa. Nitatoa mfano, unampa la azizi wako kuwa natoka kidogo,
Yeye anauliza unaenda wapi unaanza kujikanyaga nafika hapo dukani bla bla..... Anaendelea usisahau kurudi mapema. Huoni hii ni kuomba ruhusa. Ila Kama unaishi na HG tu, unamuaga tu hawezi uliza hiyo ni taarifa
 
Back
Top Bottom