datz
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 856
- 957
sawa ni mwili mmoja lakini hatuwezi kuwa na mamlaka sawaWote mana nyie ni mwili mmoja........
sawa ni mwili mmoja lakini hatuwezi kuwa na mamlaka sawaWote mana nyie ni mwili mmoja........
Ila mna haki ya kutaarifiana kwa lolote lile......ni haki ya mkeo kujua unaenda wapi.......sawa ni mwili mmoja lakini hatuwezi kuwa na mamlaka sawa
Ni kweli mkuu nipo kwenye ndoa. Wengi humu hawajaoa wala kuolewa, kimsingi wanazungumza nadharia na ni vitu wasivyovijua. Hawajui practical life ikoje, wanadhani ukioa unakuwa kama bado upo peke yako kumbe sivyo. Kuoa au kuolewa maana yake kuna sehemu ya mambo ulikuwa unafanya wakati upo single itabidi u sacrifice maana hutatakiwa kuyafanya tenaWewe inaonyesha upo katika game. Wengine ni nadharia tu
Thanks Na mwenye macho Na asome andiko lako. I can assure you, Wanawake ni hatari wanatumaliza au ni silent killer. K zenu ni lulu ingawa kishepu zinatisha.Ni kweli mkuu nipo kwenye ndoa. Wengi humu hawajaoa wala kuolewa, kimsingi wanazungumza nadharia na ni vitu wasivyovijua. Hawajui practical life ikoje, wanadhani ukioa unakuwa kama bado upo peke yako kumbe sivyo. Kuoa au kuolewa maana yake kuna sehemu ya mambo ulikuwa unafanya wakati upo single itabidi u sacrifice maana hutatakiwa kuyafanya tena
siyo haki yake usilazimishe kihivoIla mna haki ya kutaarifiana kwa lolote lile......ni haki ya mkeo kujua unaenda wapi.......
Kuna vitu ni nadharia katika ndoa hasa Kama hujajisajili. Mwanamke ni Nguzo ya ndoa Na ni boss. Akikataa usiondoke piga ua hata ukiondoka roho itakusuta urudi. Ila yeye haombi ruhusa bali anatoa taarifa. Umenipata?
...kweli best..upo??..kuaga muhimu ......ila si lazima utoe details zote za utakoenda....ila kudanganya kuwa unaenda mwenge kumbe moro si powa....ni sawa na mtu kudanganya kuwa ameoa kumbe hajaoa...ama ameolewa kumbe hajaolewa....Ni kumpa tu taarifa mwenzako naenda sehemu fulani basi.....hivi imagine unaulizwa mmeo yuko wapi unajibu sijui......inakuja kweli.....? Unapotoa taarifa inasaidia hata kuonyesha kuwa mna mawasiliano mazuri baina ya mke na mme........kwani ukisema unaenda mwenge lazma uende mwenge si unaweza kwenda hata morogoro ingawa umesema unaenda mwenge......
Umechangia vizuri mkuu ni bora vijana wakajifunza kwakoBusara ni kutoa taarifa mapema sio muda wa kutoka, hii inasaidia kama mke anapingamizi aweze kulisema mapema ili muweze ku sort out. Ninaishi na mke wangu namna hii. Huwa siombi ruhusa ila huwa natoa taarifa mapema na mke wangu hupata fursa ya ku challenge ratiba yangu, imenisaidia kuwa na amani ktk familia yangu
pokea LIKEYES !! ili kudumisha Ustaarabu na uungwana katika familiya ili hata watoto wakulie tabiya na hulka nzuri..Hilo jambo ni lazima lifanyike..Maana unajenga mazingira mazuri kwa zoezi la kuridhiana kati ya wazazi (mume /mke)!!
vingine huko maOfisini mbona hutoki ovyoovyo bila kuomba rukhsa au kutoa taarifa?!!
kwanini........ yako
Umefufukia wapi .....mweeeeeee...kweli best..upo??..kuaga muhimu ......ila si lazima utoe details zote za utakoenda....ila kudanganya kuwa unaenda mwenge kumbe moro si powa....ni sawa na mtu kudanganya kuwa ameoa kumbe hajaoa...ama ameolewa kumbe hajaolewa....
Datz pita hapa ujifunze kitu, hata kama umetoka kwenye familia ya kunywa chai na kipande cha mhindiInakera sana, unakuta mtu uko let say jikon au mahali pengine tofauti na chumbani. Mtu anajiandaa anakuja kukuaga na kuondoka hata bila kusema anaelekea wapi? Akipatwa na tatizo hujui unajibu nini kwa jamii, watoto na hata ndugu.
Kwamba aliondoka tu hata bila kuaga!!! Kweli??? Wanaume mjirekebishe hata kama mnaenda kwenye madeal yenu tajeni basi hata direction ili iwe rahisi kufuata nyayo pindi itokeapo dharura...
Mfano. Nitaanzia posta then Magomeni kisha Manzese hata mtu ukisikia tukio unakuwa na pa kuanzia.
Basi wewe mwanamke ufanye hivyo... weeeee utasemwa na wakati mwingine kipigo. Hata sisi tunapenda kuagwa jamani.....
hapanaIla mna haki ya kutaarifiana kwa lolote lile......ni haki ya mkeo kujua unaenda wapi.......