Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Wala usiumize kichwa....mi wangu nimewatosa coz wanajishaua sana so kwa sasa niko single.inabidi nifanye maamuzi haraka na magumu
Kazi ni Kwako
Wala usiumize kichwa....mi wangu nimewatosa coz wanajishaua sana so kwa sasa niko single.inabidi nifanye maamuzi haraka na magumu
Wala usiumize kichwa....mi wangu nimewatosa coz wanajishaua sana so kwa sasa niko single.
Kazi ni Kwako
Abiria chunga mzigo wako...
mikwara mingine bhana lolPlz don mess with my Passion Lady! Kukaa singo si kazi ndogo tafadhali mambo ya kusema ume mmiss Passion Lady kwakweli sipendi Erickb52 labda kama unataka wakukute umetupwa oljoro!
Maskini nani kati yangu na wewe?
Wewe unapewa sponsor then unambie mimi maskini lol
Si angenipa mimi hiyo sponsor?
Imekula kwako bibi The secretary
bibi? spring chicken bwana
asante kwa vocha. nimeutambua ushindi wako. hongera sana. bado mwana mpotevu Remmy na charminglady. Madame B alishaninunulia bia so hatudaiani. Nakusihi uwe mwana mtulivu hivyo hivyo. usiwe kama wema sepetu kila siku magazeti. mia
Plz don mess with my Passion Lady! Kukaa singo si kazi ndogo tafadhali mambo ya kusema ume mmiss Passion Lady kwakweli sipendi Erickb52 labda kama unataka wakukute umetupwa oljoro!
samahani sana dada Remmy. mambo yalikua mengi sana lakini hamna kilicho haribika sababu Mungu ni mwema. one day yes. miaHa ha haaaaaHapati mtu hapa, niache kuwapa waume zangu nikupe wewe...Hafu mbona ulinidanganya?
inabidi nifanye maamuzi haraka na magumu
mafungu ya nyanya..ukifunua ukifunika unaacha....KAPIME NA AFYAWala usiumize kichwa....mi wangu nimewatosa coz wanajishaua sana so kwa sasa niko single.
Kazi ni Kwako
alikwambia ni mipango ya ndoa nani?
thank you,thank you sana ArabelaPia nimshukuru Ruhazwe JR kwa kuratibu zoezi zima pamoja na kuwasilisha zawadi kwa uongozi wa jf.