Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
ukikaa wawaza kusalitiwa
Mbona unachoshwa na huyu jamaa wakati mie nipo!!? Let us work on our long term program! Juu ya nini mama!!?
ukikaa wawaza kusalitiwa
usijali mpendwa tuko pamoja.
furaha ya wafitini utaitimiza wewe...wao siku zote hupenda kuona wengine wakiumia...ila kwao huwa ni kwa muda tu...baada ya hapo huanza kucheka na dhihaka.....jaman napiga moyo konde ila dah
upo humu chit-chat kwa ajiri ya hilo tu...vipi na huko mtaani ndio unavyooishiMbona unachoshwa na huyu jamaa wakati mie nipo!!? Let us work on our long term program! Juu ya nini mama!!?
sema basi tupo pamoko...pamoja sikuelewi!
ukikaa wawaza kusalitiwa
ndio maana miss world tunakosa kwa tamaaa za namna hii
jaman napiga moyo konde ila dah
upo humu chit-chat kwa ajiri ya hilo tu...vipi na huko mtaani ndio unavyooishi
karibu sana my dia will be waiting for you
hahaha kumbe ulikoswakoswa. Pole ma dia. Karibu
wala si sababu ila masimango na ukosefu wa iman ndo vilivyochangia