Miss chit chat oyeee

asante kwa vocha. nimeutambua ushindi wako. hongera sana. bado mwana mpotevu Remmy na charminglady. Madame B alishaninunulia bia so hatudaiani. Nakusihi uwe mwana mtulivu hivyo hivyo. usiwe kama wema sepetu kila siku magazeti. mia

Ha ha haaaaa

Hapati mtu hapa, niache kuwapa waume zangu nikupe wewe...
Hafu mbona ulinidanganya?
 
Last edited by a moderator:
Misi najua una uwezo na nguvu naomba unisaidie kuongea na Zion Daughter mwambie ninamuhitaji!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaHapati mtu hapa, niache kuwapa waume zangu nikupe wewe...Hafu mbona ulinidanganya?
samahani sana dada Remmy. mambo yalikua mengi sana lakini hamna kilicho haribika sababu Mungu ni mwema. one day yes. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom