Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Hahahaha Kijana una nidhamu sana... Nawe nakukabizi charminglady bila mahari mkavunje jungu.

attachment.php

mhh mhh mhhhh dayuuummm...ndio maana napenda wanawake wa kibantu...cheki miguu hiyo..paja limeenda shule hapo ukicheki macho ni anakuita njoo kwangu...la haula!! Raha sana kua mwanaume maana tunaona na kutamani mengi sana
 
Mwaaa my sugar wife material. Muulize mke mwenza cacico akuambie mbaya wangu ambaye ni mbaya wenu pia. BTW ulikuwa wapi muda wote?
BADILI TABIA, we mithd u, mpaka nikakuulizia kha? lol! nakwambia kuna mtu huyo, ana shepu ya pilipili hoho, ndio haswaaaaaa kamuudhi hubby wetu! namsomea albadil hapa tayari! miguu imnyooke ka tubelights, na atapike bahari, nonstop!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom