Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
1,328
2,242
Matukio yaliyonikuta mpaka nikaacha nyeto na kuhama CHAPUTA forever.

Dhumuni la kuleta uzi huu ni baada ya kuona kuna watu wanateseka sana na upigaji wa nyeto na wengine wanatamani kuacha ila hawa amini wataweza acha, pia wale wanaowai kumwaga tafkiri penzi la kuku nao pia wanapitia msoto mkali sana, yote mawili nilipitia na nikachomoka huu ndio ushuhuda wangu hapa chini.

Wakuu tukubaliane kwanza kwa vijana wa kiume hususani sisi wa dot com, ambao tumekua na kukutana na hii exposure ya internet, imekua ngumu saan kukimbia pornography.

Binafsi nilianza kuangalia porno nikiwa la saba, enzi hizo nilikua naenda ku burn ma CD nakuja kuangalia skani watu wakiwa hawapo, then nikamikilii simu yangu na memory kadi, hapo 2GB zilikuwa zinapangwa porno mpaka inajaa memory, sim haina hata laini. (Mtakumbuka kipindi masimu ya kichina yameingia kwa kasi sana) na biashara ya kuweka nyimbo kwenye simu ikatrend.

Nikiwa form one, ndo nka anza kuskia jamaa wanapiga stori za nyeto, jamaa wanadai wanapata raha sana, da nkatamani na mimi nipate hiyo raha wanayopata wadau bila hata dem wala nini. Wakawa wanahadithiana, we jamaa jana ulipiga ngapi, mi 2 yule 3, wa moja alionekana mzembe sana.

Mwisho nkafikia maamuzi ya kujaribu, siku hiyo nilipiga sana tena na sabuni nikiwa naoga wapi hata hamna mzungu wa kuchungulia sugua sana mpaka kichwa kikawa chamoto, kesho yake nkawarudia malecturer wakanambia vuta hisia kwanza, angalia porno za kutosha,

du...!?
Mtume roho yangu, bora hata nisingewarudia wataalamu wa hii sekta kupeleka feedback,
Jioni nikiwa skuli natamani tu nitoke nikapractice darasa nililopewa na GURUS, wenyeviti na Makatibu wa CHAPUTA, kumbe bila kujua ndo napewa kadi ya uanachama wa kudumu, sikumaliza hata muda najikuta ni permanent secretary general wa chama tena HQ kabisa.

Jioni yake nlivoenda kuoga niliingia na sim kabisa bafuni nilikua staki utani, hii raha lazima na mimi nipate, kweli wazee nilipiga kidogo tu, mwisho nashangaa mbona kuna kitu kinataka kutoka tena cha 🔥🔥 hivi, mara paaaaa, kimoooooo, nikajuta kwanini sikujua mapema, na nikawalaumu sana jamaa kwanini hawakunambia mapema wamekua wakienjoi wenyewe.

Nilidumu kuwa mwanachama mpaka namaliza O-level huku nikichangia ku recruite members wapya mpaka naingia advance, tena shule ya boys. Hapo nilianza kupambania cheo cha uenyekiti wa chama kabisa, nilikua hata nikiona pichu sehemu nadata kabisa, yani nikawa ka teja 😄😄😄. Kila siku kabla ya kulala na baada ya kuamka, lazima nilipoti kwanza.

VISANGA VILIVYOPOELEKEA MIMI KUACHA

Cha kwanza

Mimi nyumbani malezi yalikua ya dini sana so maombi deile, ila hapa kwa huyu pepo wa nyeto yalidunda, baadae nilianza kujikuta najutia ninachokifanya ila kama freemason tu, Once in there is no going back.

Tukio la kwanza lilinikuta ni siku nilikuja likizo toka shule, nilifika nyumbani nimechoka sana, nikala na kuingia kulala, nikapanda kitandani nikakumbuka sijafunga mlango, kwa ajili ya uchovu nikasema ngoja nilale nta amka kufunga. Kulala usingizi hauji, nikakumbuka hapa sijashtua kimoja ndio maana, basi nikaanza kupasha, sijui utamu ulinoga vipi,😆😆😆 nikasinzia kabisa.

Kuja kustuka ni asubui mida ya saa 11:30 asubui, muda wa ibada nyumabni, taa inawaka ndani, mbele yangu ni sista kabaki ameduwaa, hata suala la kuja kuniamsha tuingie kwenye morning prayers, ibada imeanza likaishia hapo, niko Uchi, pembeni kopo la mafuta, mkono nimeshika mjegeja, kumbe nilivosinzia usingizi wa utam hata mkono skukumbuka kutoa.

Hapo baada ya hilo tukio niliapa kutokurudia milele, na kadi ya uanachama nikahisi nimerudisha, nika apa mimi na CHAPUTA basi kabisa, nikakaa kama miezi miwili hivi, bila kugusa yani nlikua sitaki hata mafuta yanisogelee😁😁😁.

Baada ya muda kuna channel huko telegram inaitwa, Club seniors na nyingine ni kachumbari tamu, aloo sijui nani alinipelekapo, nikajikuta nimerudi kundini kwa fujo, nilikua nakiwasha kama taila. Af sijui ni pepo gani kila nikimaliza kupiga na apa hii ndo ya mwisho ila wapi, inakua ya kwanza. Chuo kitanda changu nilikifunika Enclosure (watu wa hostel hapa watanielewa), nilikua napiga nimo ndani, watu humo humo room wana mishe zao, sometime najisahau hadi kitanda double decker kina anza kutikisika 😜😜😜.

{Hapa ndo niliamini maneno ya mdau mmoja humu aliesema pepo wa nyeto akiwa sirias kidogo anamzidi hadi shetani nakubali}

Tukio la Pili

Tabia iliendelea na kuna kipindi nilikua napiga nyeto na dem nkipata nagonga nkaona mbona ngoma haina hata madhara, kumbe wale wa mitandaoni ni stori tu huwa wanaleta, za kwao, nika anza kujiuliza kitendo kile kile ufanye na mwanamke hakina madhara, ufanye mwenyewe kiwe na madhara, nkaona wanafki tu.

Hatimaye za mwizi arobaini yangu ikafika, nkatongoza dem mmoja hivi, kingi, akaja magetoni, nkamchezea sana ngoma iko tight hatari, nkamvua kabisa shoo ianze. Na mi nkatoa nguo, ile naenda kuweka, ka mzee baba kakanywea ile mbaya, nika kachezea mpaka basi lakini wapi, yule dem nae akanisaidia kukachezea lakini wapi, alikanyonya plus ufundi wote, kamzee baba, kama vile kamekufa yani, kakinyanyuka kidogo nikipeleka, tu kanasusa kanalala tena, nikatamani hata nikatie makofi kwa hasira, yule sista kuna mda uvumilivu ulimshinda aka anza na kucheka.😭😭😭

Wakuu hii aibu iskie tu kwa watu, ila chumba changu mwenyewe niliona nataka kukimbia sasa, na yule dem alivofara, wala hata hakua na haraka za kuondoka katulia tu, ananiskilizia, walai NYETO ILAANIWE, SIO KWA AIBU ILE.

Baada ya hapo nika azimia kuacha nyeto na kuondoka CHAPUTA for good, kadi la uanachama narudisha na vyeo vyote vya upermanent Secretary wampe mtu mwingine tu. Nilikaa ka miezi mitatu napiga mazoezi ya kegel ya kutosha na kukimbia sana, nakumbuka kwa siku nilikua naenda 10-15KM, na madawa ya hawa watu wa chakula ni dawa (wao wanajiita ma herbalists) nyeto nika amua amna kuridi nyuma tena. nika amini nimepona, sasa nkajua nataka nipate mtoto mmoja nimwoneshe shoo moja ya kibabe sana.😜😜😜

Tukio la 3

Nkaona kuanza kutongoza binti mpaka aje akubali itakua kazi, nkamtafta Harima mabomu, sijui kwanini walikua wakimuita mabomu ila ndo nilikuja kuyajua mabomu yake. Yeye hakua na noma akanambia tukimaliza nimpe kibunda tu, nkampa advance, kweli akatinga geto.

Halima alikua na mbwembwe sana, ile kafika tu hata sjajipanga akanifakamia akanishusha na nguo, mara koni kaidaka, aka anza kazi yake, kweli machine ilikua tentemente, akilini najiambia leo halima ntampiga hadi ajue mimi ni nani, badala hata nimvue, akavua mwenyewe na akamalizia kunivua na zangu, nkajua leo shoo shoo.

Hata sikumchezea popote, akajitenga, nikatoka kwenda kupandisha sauti ya mziki kabla sjatoa kichapo cha karne kwa halima mabomu. Nashangaa nko natafuta playlist zangu za kibabe kika anza kunywea tena, kurudi kinakalibia kusinzia kabisa, akaishika akaanza kuisugulia pale kwenye nanilii, lakini wapi, akainyonya tena lakini wapi, mda huo na kijasho kimeanza kuntoka, baadae akanambia huku anavaa, "nlikuona mwanaume kumbe mwanamke tu sa si uvae na dera kabisa."

Hapo ndo nilijua nyeto kamwe haiachagi mtu salama, nilijutia sana kwanini ile hali inanikuta mimi, na kwanini nilianza kujichua na nikafikili mstakabali wa maisha yangu bila kua na uanaume wangu sa nna thamani gani tena ya kua mwanaume, Halima mabomu aliondoka na ile hela iliyobaki nligoma kumpa kwamba sjafanya, kumbe ndo nimeyakanyaga, alinitangaza mtaa mzima, na kila nlikopita nkiona watu wanacheka najihisi ni mimi.

Mwisho na mitaa ya uswahilini nkaona bora nihame, nikawa hata nikipishana na mwanamke nkamtamani nakumbuka siwezi mfanya chochote, najiskia vibaya sana.

Hatua ya mwisho nkaona nisije kufa kijerumani na tai shingoni nitafute mtu nimweleze shida zangu, nkamfata braza, mtoto wa mamkubwa wangu, nkamweleza ila sikumwambia nilipata misala sababu ya nyeto, akanambia atanitaftia dawa, ila sharti nisimwambie mtu tu.

Nkafikili ni kweli ni siri kumbe alienda kumwambia mama angu mzazi yanayo nisibu, kumbe sista angu alowai nifuma pia, alimwambiaga mama, siku hiyo mama aliniita, nashangaa ananiuliza

Mama: hilo tatizo limeanza lini...!?
Mimi: Tatizo gani..?
Mama: Ulilomwambia kaka yako,
Wakuu nligeuka piliton kabisa, na akamalizia au ni kipindi kile dada ako alikuona, ndo imekuletelezea, asee nilijuata sana hiyo siku. muda huo nna karibu miezi sita sijapiga kabisa.

Kufupisha stori make ishakua ndefu, mother ndo alikuja baadae kunambia dawa. Nilitumia after one month nilianza kuona mabadiliko machine ikawa inasimama hovyo hovyo na usiku sometime nkilala nachafua shuka, maswala ya kidato cha pili huko nyuma yakarudi.

Nkajaribu kutest mitambo tena nakumbuka nlienda usiku nkampa malaya 20K, akanipa nkapiga fresh kabisa ndani ya kama daka 10 hivi nafkiri nikawa nimefika, nikawa naenda tena na tena.

Nkaamua kutongoza nikaweka ndani nkapiga shoo safi kabisa nusu saa, daka arobaini zikawa hazipigi chenga round ya kwanza. Toka hapo mimo niko good ni miaka almost 6 sasa, sijawai kabisa hata kuwaza kupiga nyeto.

DAWA NILIYOTUMIA NI HII
Kwa wanao wai pia kumwaga mara huwezi rudia hii ndio dawa yako, baada yangu niliwaambia na wengine na majibu yao yamekua mazuri kwamba iliwasaidiaa na walipona kabisa.

Tafuta Asali mbichi lita 1.
Tafuta mdalasini wa unga walau kikombe kidogo cha chai kiwe nusu,
Then kwenye hio nusu ya kikombe cha chai ongeza na karafuu ya unga ili kujae.
Changanya na asali mpaka ichanganyike vizuri, utakua unalamba asubui, vijiko vidogo viwili kabla hujala chochote, na usiku lamba vivyo hivyo kabla ya kulala.
Wakuu ukifanya hivo ndani ya mwezi mmoja, niko hapa utaleta majibu.

NB: Kuacha nyeto sio kitoto, ni kazi na ili uache mpaka yakukute ndo uta acha ambae hajaingia toroka kabisa, bora ukabeti tu. Ila ukiamua unaweza vizuri sana.
Kitu nimegundua pepo la nyeto hata uombe sijui linakichwa kigumu kiasi gani, mi nilifunga sana na maombi ila yalidunda, ni MPAKA UAMUE WEWE MWENYEWE.

The end by Baba Rhobi.
 
haaa haaa ..... mwandishi mzuri

nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..

Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.

Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.

Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.

ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.

Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO.. " Ejaculation a day Keeps a Doctor away"

kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .😂😂😂

bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo

Kwangu mimi nakataa NYETO kwa sababu ni DHAMBI Kwa Mujibu wa imani Katoliki. na si vinginevyo.
 
haaa haaa ..... nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..

Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.

Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.

Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.

ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.

Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO..

kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .😂😂😂

bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo
huu ujinga ndo ulitaka kuniangamiza hapo nyuma.
 
haaa haaa ..... nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..

Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.

Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.

Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.

ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.

Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO..

kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .

bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo
Wazee wa kataa ndoa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom