Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
All the best
 
Chama gani mimi cuf nakubalika?dini answarsuna je na kubalika?umri 36 elimu ni chuo cha kiislamu al mujidir University Misiri,kazi mwalimu wa madrasat alurumer je nitakubarika ila na wake 2 na watoto 5 karibu.
 
28 -33 mwanaume aliyesingle hana mchumba?? jihadhari nae atakua na matatizo uyo
Hahaha...sikuwa nimeiona hii, inanihusu aisee, sa inamaanisha hatuwezi date enh? maana tiari uko na perception kwamba LAZIMA niko na mchumba.
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please

Mume ni mmoja na wachumba ni wengi. Utawapata wachumba wengi ila uwe tayari kugegedwa ili kumpata mume mmoja. Lakini, askari huoa bila atua ya uchumba.
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Ukisikia kwiyyoooo ujue kesha liwa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom