Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Duuh!! Saivi vigezo kila mahali... Hapo na mahari shingap ili tujipange kabisaa
 
Jamani mi wa la saba.lakini mambo yangu kichuo chuo tu yaani hata jf nimejiunganisha mwenyewe kubali basi uonje show zetu wa mtaani
 
Wewe huchukuliaje bf na gf? Mi naona kuwa hiyo ni idara ya kusaidiana tu yaani kupunguziana mate yasijeleta athari kwenye miili yao.
Ndo maana wenyewe huvaa kinga kila wakutamapo kusije tokea makandokando ya kibahati mbaya hivi ikawa taabu.
Bf au Gf akiona vipi hujiunga na mwingine aliye tiyari kuoa.

Mmmmmh mwanaume miaka 30 huna hata girlfriend
 
Wewe huchukuliaje bf na gf? Mi naona kuwa hiyo ni idara ya kusaidiana tu yaani kupunguziana mate yasijeleta athari kwenye miili yao.
Ndo maana wenyewe huvaa kinga kila wakutamapo kusije tokea makandokando ya kibahati mbaya hivi ikawa taabu.
Bf au Gf akiona vipi hujiunga na mwingine aliye tiyari kuoa.

Asante mpendwa lakini sijakuuliza
 
Kwani mipaka ya umri wa kuoa kwa wanaume ni miaka mingapi?Yeye anataka mchumba haijalishi ni mzoefu au mgeni wa mapenzi,ila cha kumshauri atafute mume na siyo mchumba maana mchumba anaweza kuwa yoyote hata kama amekidhi vigezo vyake ila mume ni mmoja tu!Kwa hivyo take care kama keli unamaanisha kweli!Mungu akupe mume mwema.

avatar yko imenikumbusha enz hzo chuon mwanza
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Mimi nina vigezo vyote ivyo ila nakupa kaz kidogo nifate inbox
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom