Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Teh! natamani bibie aje aone unavyomkana hapa

I aint lying, na siku nampata yule atakayenifanya moyo wangu udunde mara mbili ya kawaida na kunipa udomo zege wa muda...sitochukua miezi sita!
 
I aint lying, na siku nampata yule atakayenifanya moyo wangu udunde mara mbili ya kawaida na kunipa udomo zege wa muda...sitochukua miezi sita!

Sawa mpendwa Mungu akupatie haja ya moyo wako
 
kama hutafuti mchumba hewa emu weka picha yako tukuone, coz haiwezekani kuuziwa mbuzi kwa gunia yaani tabia hatuijui hata sura nayo tusiione alafu unataka kuimbishwa?
 
Samahani mkuu mie sijakutaja wewe lakini! kwahiyo huna hatagirlfriend?? ni tatizo
Kwahiyo dini yako inaruhusu uzinzi? Hivi nyege zako unataka kuzigeneralise? Yani badala ya kumtunzia mumeo hiyo papuchi unaigawa tu ili ukija kuolewa iwe tasteless?
 
Ndo matatizo yenyewe hayo! mwanaume anaejielewa miaka 30 hapotezi mda na kuzugazuga atakua anatabia za kivulana
Kwan ww rubii una miaka mingap?inaelekea ushadanganywa sana ad dk hii mbinu zote ushaexperience mtu anaweza kuwa single kwavle labda aliye nae walishaachana
 
Sasa mbona hakuna nyama mwenye Uzi wako
Age? Je una magonjwa ya kuruthi? Dini yako? Kishepu? Mlimbwende au mzuri?
 
Kwahiyo dini yako inaruhusu uzinzi? Hivi nyege zako unataka kuzigeneralise? Yani badala ya kumtunzia mumeo hiyo papuchi unaigawa tu ili ukija kuolewa iwe tasteless?

Wewe kinakuuma nini?
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
IKIFIKA AM NTARUDI.............
 
Tuliopo humu wengi std7 kama mnataka chuo kikuu si muende mlimani au ndio mnaturingishia?
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Vipi ushapataa. Mi midato cha nne ila Nina kiwanda changu cha misumari
Nimejenga
Sipo vibaya kwa kifupi
Account haipungui ml 80
Nipm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom