Mimi ni msichana, natafuta mchumba

Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
A man without a degree nowadays .... you'll certainly remain unmarried .... Mungu wangu ingilia kati hawa "viumbe" wabadiri mtazamo. TUSIO NA DEGREE TULIE TU
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Haya Dada piga sana goti utapata.
 
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
unajidanganya
 
Uliokuwa nao wameenda wapi..? Mpaka umeamua kubandika tangazo wanakuja kupitia hili tangazo wawe makini utakuwa una matatizo sana
 
Anko fisi nipo hapa, ni pm bas
 
Attachments

  • 1474021278886.jpg
    1474021278886.jpg
    9 KB · Views: 63

Similar Discussions

Back
Top Bottom