Mimbo ya utotoni

zipo kibao ila nimezisahau,ila kuna rangi chungwa,kasuku,hizi zilitamba sana,ila nyimbo ambazo watoto waliziimba sikumbuki
 
bilinge baiyoyo*4
tunamuomba dada husninyo aje hapa atuoneshe mauno yake.... Bingili bingil mpaka chini.

hahahahaha kweeli umenikumbusha mbaali kweli,.huku umeingia kati mwenyewe halafu umeshika kiuno,.dah utoto raha
 
Back
Top Bottom