Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,594
- 17,725
Wakati mwingine mbinu zinawekwa pembeni kutafuta pesa kubwa maana mbinu zote zinakuwa na pesa ndogo ... kuna kitu kinaitwa mikeka ya kujilipua... uwezi kufuata mbinu sahihi usile mara kwa mara mbinu nyingi tunazo peana ni za matreni.Huu uzi ikitokea watu wameliwa huwa unatembea balaa,
kila anaeliwa humu anakuja na mbinu yake mpya ila cha ajabu muda wa kubeti tena anajikuta kasahau izo mbinu anaambulia tena za uso kama kawaida anarudi tena kulaani timu na wachezaji
simshauri mtu aache ila betting ni biashara kichaa na % kubwa inategemea bahati.
ONLY BET FOR FUN